Obama kuwasafisha Lowassa na Rostam!

POMPO

JF-Expert Member
Mar 12, 2011
6,690
2,400
Rais wa USA- Kamanda Obama, kutembelea mitambo ya Symbion, ambayo ilitokana na Dowans, ilioleta kashfa ya ufisadi na kupelekea waziri mkuu, wakati huu Lowassa kujiuzulu.

Je! Hii ni nguvu ya Lowassa na Rostamu?.
Je! Ni kutaka kumsafisha?
Je! Hafahamu mitamba anayoendelea ilianzia wapi!?
Je! Dowans ilikuwa halali!?
 
Yeye anatembelea Symbion na siyo Dowans. Lowassa no Lowassa hiyo haimhusu.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Hiyo ndio nguvu ya Rostam, oppss AlAdawi. Jee unalo zaidi?

Hata mama Clinton aliitembelea, kama hiyo haitoishi, sasa ni Obama.

Jee, zile fitna za Mzee Mwanakijiji ziko wapi? kwa sasa anaishi kama mkibizi USA na akifanya mchezo anakuja hapa kusota, sijui atakuwa mgeni wa nani? maana hata nyumba hana. Na huko alikuwa kutwa kwenye mitandao na hana alijualo akila keki za kusaidiwa.

Usicheze. Kuna vitu havijaribiwi. Hamjasoma yaliyompata Nyerere kwa Tiny Rowlands aka LONRHO.

Kaeni Kikwete awape darsa la diplomasia. Rais pekee wa Afrika na pengine duniani aliyeweza kuwaleta Marais na watu wote mashuhuri duniani, Tanzania, bila jasho.

Slaa, upo?
 
Yeye anatembelea Symbion na siyo Dowans. Lowassa no Lowassa hiyo haimhusu. Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
KWA TAARIFA YENU OFCIAL SOURCE TOKA IKULU ALYERATBU UALIKO WA OBAMA TOKA MWAKA JANA NI LOWASA NA MEMBE KARUKIA KCHWAKACHWA AJUI SIRI YA LOWASA NA JK US INAMKUBALI LOWASA Kulko JK
 
Hiyo ndio nguvu ya Rostam,oppss AlAdawi. Jee unalo zaidi?

Hata mama Clinton aliitembelea, kama hiyo haitoishi, sasa ni Obama.

Jee, zile fitna za Mzee Mwanakijiji ziko wapi? kwa sasa anaishi kama mkibizi USA na akifanya mchezo anakuja hapa kusota, sijui atakuwa mgeni wa nani? maana hata nyumba hana. Na huko alikuwa kutwa kwenye mitandao na hana alijualo akila keki za kusaidiwa.

Usicheze. Kuna vitu havijaribiwi. Hamjasoma yaliyompata Nyerere kwa Tiny Rowlands aka LONRHO.

Kaeni Kikwete awape darsa la diplomasia. Rais pekee wa Afrika na pengine duniani aliyeweza kuwaleta Marais na watu wote mashuhuri duniani, Tanzania, bila jasho.

Slaa, upo?

marais wengine wajanja wewe hawaingiliki kiuwepesi wepesi ,, wazungu hawatuzidi akili labda wanatuzidi maarifa,, usijisifie ujinga
 
Hiyo ndio nguvu ya Rostam, oppss AlAdawi. Jee unalo zaidi?

Hata mama Clinton aliitembelea, kama hiyo haitoishi, sasa ni Obama.

Jee, zile fitna za Mzee Mwanakijiji ziko wapi? kwa sasa anaishi kama mkibizi USA na akifanya mchezo anakuja hapa kusota, sijui atakuwa mgeni wa nani? maana hata nyumba hana. Na huko alikuwa kutwa kwenye mitandao na hana alijualo akila keki za kusaidiwa.

Usicheze. Kuna vitu havijaribiwi. Hamjasoma yaliyompata Nyerere kwa Tiny Rowlands aka LONRHO.

Kaeni Kikwete awape darsa la diplomasia. Rais pekee wa Afrika na pengine duniani aliyeweza kuwaleta Marais na watu wote mashuhuri duniani, Tanzania, bila jasho.

Slaa, upo?
We nae kituko!!!Eti bila jasho???Soni huna!,Mtu anatupatupa mali kama akina Mangungo wewe unakenua na kupiga vigelegele."kumbuka {shanga na vioo = chandarua na dawa za malaria}.
 
Sijui nikuweke kwenye kundi gani la uwezo wa kufikiri... Uwezo wako mdogo sana, au unafanya haya kama mchango wako kwenye Lumumba project. Kama vipi rudi darasani ukasome historia na namna nchi yetu ilivyoingia kwenye ukoloni mkongwe. Baada ya hapo ubongo wako utaweza kufikiri hila za wazungu katika nchi za dunia ya tatu!
 
Hata Yerusalemu ilitembelewa na wafalme mashuhuri na matokeo yake ni wana wa Israel kupelekwa ukimbizini na kunyang'anywa nchi. Tanzania ni mrembo anayekodolewa macho. Zaidi ya rasilimali hakuna kinachofuatwa. Utabiri wa mtemi Kimweri bado valid "watakuja watu wenye matumbo makubwa na mavazi kama ya vipepeo. MSIWAPOKEE"
Hiyo ndio nguvu ya Rostam, oppss AlAdawi. Jee unalo zaidi?

Hata mama Clinton aliitembelea, kama hiyo haitoishi, sasa ni Obama.

Jee, zile fitna za Mzee Mwanakijiji ziko wapi? kwa sasa anaishi kama mkibizi USA na akifanya mchezo anakuja hapa kusota, sijui atakuwa mgeni wa nani? maana hata nyumba hana. Na huko alikuwa kutwa kwenye mitandao na hana alijualo akila keki za kusaidiwa.

Usicheze. Kuna vitu havijaribiwi. Hamjasoma yaliyompata Nyerere kwa Tiny Rowlands aka LONRHO.

Kaeni Kikwete awape darsa la diplomasia. Rais pekee wa Afrika na pengine duniani aliyeweza kuwaleta Marais na watu wote mashuhuri duniani, Tanzania, bila jasho.

Slaa, upo?
 
Kagame was right.
Sijui nikuweke kwenye kundi gani la uwezo wa kufikiri... Uwezo wako mdogo sana, au unafanya haya kama mchango wako kwenye Lumumba project. Kama vipi rudi darasani ukasome historia na namna nchi yetu ilivyoingia kwenye ukoloni mkongwe. Baada ya hapo ubongo wako utaweza kufikiri hila za wazungu katika nchi za dunia ya tatu!
 
We nae kituko!!!Eti bila jasho???Soni huna!,Mtu anatupatupa mali kama akina Mangungo wewe unakenua na kupiga vigelegele."kumbuka {shanga na vioo = chandarua na dawa za malaria}.
Hata mwadui mines mzungu alileta zawadi za goroli akabadilshana na wasukuma waliozitumia kuchezea bao!Na kweli walimwona mkarimu sana na mtemi alipata bahati ya kujengewa nyumba yenye madirisha ya vioo kati kati ya nyumba za nyasi!Watu wote waliona hakuna kizuri zaidi ya hicho na mzungu alitukuzwa kwa hilo!Hatujawahi kubadilika!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Unadhani wanakuja bure? Wanachota wanasepa zao we mwenyewe unaona diilii kumbe mshaliwa

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Hiyo ndio nguvu ya Rostam, oppss AlAdawi. Jee unalo zaidi?

Hata mama Clinton aliitembelea, kama hiyo haitoishi, sasa ni Obama.

Jee, zile fitna za Mzee Mwanakijiji ziko wapi? kwa sasa anaishi kama mkibizi USA na akifanya mchezo anakuja hapa kusota, sijui atakuwa mgeni wa nani? maana hata nyumba hana. Na huko alikuwa kutwa kwenye mitandao na hana alijualo akila keki za kusaidiwa.

Usicheze. Kuna vitu havijaribiwi. Hamjasoma yaliyompata Nyerere kwa Tiny Rowlands aka LONRHO.

Kaeni Kikwete awape darsa la diplomasia. Rais pekee wa Afrika na pengine duniani aliyeweza kuwaleta Marais na watu wote mashuhuri duniani, Tanzania, bila jasho.

Slaa, upo?
Watanzania kwa kujisifia ujinga hatujambo,
Kwani JK anawaleta kwa ajili ya watanzania si anafanya nao biashara ya kimangungo, wanampa suti na vyandarua, yeye anawapa madini nk
 
Hiyo ndio nguvu ya Rostam, oppss AlAdawi. Jee unalo zaidi?

Hata mama Clinton aliitembelea, kama hiyo haitoishi, sasa ni Obama.

Jee, zile fitna za Mzee Mwanakijiji ziko wapi? kwa sasa anaishi kama mkibizi USA na akifanya mchezo anakuja hapa kusota, sijui atakuwa mgeni wa nani? maana hata nyumba hana. Na huko alikuwa kutwa kwenye mitandao na hana alijualo akila keki za kusaidiwa.

Usicheze. Kuna vitu havijaribiwi. Hamjasoma yaliyompata Nyerere kwa Tiny Rowlands aka LONRHO.

Kaeni Kikwete awape darsa la diplomasia. Rais pekee wa Afrika na pengine duniani aliyeweza kuwaleta Marais na watu wote mashuhuri duniani, Tanzania, bila jasho.

Slaa, upo?

Huo ndio upuuzi wooote ulioko kichwani kwako!!!!! Kaaaazi kweli kweli!!!!
 
Dr Mwakyembe aliwahi kuliambia bunge kuna mambo hawakutaka kuyasema ili "kulinda heshima" ya "serikali" (hapo ni baada ya Lowasa kujiuzuru na baraza la mawaziri kuvunjwa).

Lowasa pia aliwahi kukaririwa akilalama kuwa "Mwenyekiti wa CCM" hajajitokeza kumtetea kwa mashambulizi yanayoelekezwa kwake licha ya kuwa hakuna chochote Lowasa alifanya katika sakata la Richmond ambalo Rais hakuwa anajua.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom