Plot4Rent Nyumba zinapangishwa Savei-Mwenge

derickson

Member
Jul 21, 2018
5
2
habari wana jf. Kuna nyumba 3 zinapangishwaa maeneo ya mwenge savei karibu na mliman city.
1. Chumba sebule choo na jiko 180,000/= kwa mwezi.
2. sebule vyumba viwili choo na jiko. tsh 280,000/= kwa mwezi. Na
3. Vyumba 3 kimoja master, jiko public toilet sebule kubwaaa tsh. 350,000/= kwa mwezi.
hakuna udalali katika nyumba hizi. Zote zipo sehemu moja dk 6 tokea mlimani city.

hakuna fence ila kuna ulinz wa kutosha. Maji yapo 24/7. piga simu 0755063076
 
Back
Top Bottom