House4Sale Nyumba inauzwa Dar es Salaam

Nyasiro

JF-Expert Member
Feb 20, 2012
1,200
551
Nyumba ipo Dar es salaam, Kigamboni, Mvumoni Km 16 kutoka Ferry kufuata barabara iendayo Gezaulole. Kiwanja kina hati ya miliki ya miaka 33 na kina sqm 811. Nyumba ina vyumba vinne vya kulala na car park. Ina umeme, maji ya kisima chenye pampu ya umeme na tanki la maji. Pia, ina uzio wa ukuta.

Kwa mawasiliano piga simu: 0754-723547; 0684-445442.

Hatuhitaji Dalali.

af45cd7da06856864a7dcd62764ec715.jpg


cbe84cd76924b8dbfde52c43d64d9b4c.jpg


807a67ab011f528c2ac1650e0224d209.jpg
 
Magufuli awamu hii ataua watu! Mkuu hapo sio kwamba nilisikia kuna mradi fulani utafanyika na kuna mazungumzo yanaendelea na wenye nyumba kuhamishwa?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom