Nyongeza ya mshahara Tsh 10,000 nayo inatozwa kodi ukiitoa benki au ATM

Huyu mama akiendelea kumuendekeza Mwigulu, basi 2025 ajiandae tu kwa maumivu makali!

kama bado lakini ana zile ndoto zake za kuja kuwa Rais wa kuchaguliwa.
2025 Kuna jipya gani? nani kakwambia ccm inategemea Sanduku la kura! umemsikia aliesema Kenya ije kujifunza kwetu mbinu za uchaguzi
 
Walianza kukata siku nyingi mfano NMB Walikuwa hawajaweka officialy. Ila ilikuwa ukitoa kiasi fulani makato ni tofauti na hapo kabla.

Inakera sana. Yaani mshahara unakatwa kodi, na bado unakatwa tozo ya kutoa na makato mengine kama service charge nk.

Hivi kama serikali ina hali mbaya,si wauze v8 zao na kupunguza ziara na misafara mingi ya viongozi?

Yaani wanaona njia rahisi ni kukomaa na wananchi. Wao ziara za kila mara ambazo kiuhalisia nyingi hazina tija.
Kuweka mawe ya msingi hata mkuu wa mkoa anaweka kwa niaba.

Aisee, inaumiza sana tena sana!
 
Mwenye mchanganuo wa hizo Tozo mpya atuwekee tuone
IMG-20220729-WA0022.jpg

Unaweza kuona ni makato kidogo, lakini kwa mshahara ni makubwa kwasababu tayari ushakatwa kodi na makato mengine.
 
Huu ni wizi wa serekali kwa raia wake. Unawezaje kukata kodi kwenye pato lilokatwa kodi tayari?
 
Wataisoma namba Sasa hivi wore tunasoma namba

Msilielie sana Kama mmechukia kataeni Kwanza mnyama hatari ccm ndipo unaweza ona pambazuko
 
waambie kuhusu soccer, wengi ndio tukijuacho iko. na sio mhimili wa tz unavyoenda. tunapandishiwa vitu watakavyo tutalalama vijiweni kisha tunaagiza kahawa kisha tunaendelea kuwachambua wakina MAYELE.

JamiiForums2055380220.jpg
 
Wandugu,

Wakati serikaki ikiongeza mshahara kwa shilingi 10,000.00 serikali hyo mshahara ukifika benk baada ya kulipa kodi ya payee, huko benki serikali inatoza kodi tena...
Kuna kusoma na kuelimika.

Pia sio wote wenye PhD ni za kweli. Wengine wamezipata kwa kuboot.

Yaani mtu amesha katwa kidi zote. Hadi bank charges, halafu mchumi namba moja, anakuja kukata ile serving yako aba ipunguza tena kwa tozo.

Ndio maana Mwalimu Nyerer( RIP) Alikuwa ana angalia kabila la kushika wizara ya fedha.

Anyway, hitoria itasema.
 
Wabongo acheni kulalamika fanyeni kaZi mimi niko uku cambodia maisha yako juu acha mchezo uku hata kudeposit fedha bank kuna makato , gb moja ni sawa Na elfu kumi za kibongo halafu hali ya mtaani ni mbaya mnoo yani watu tunashindia ugali Na uji acheni kulalamika
 
Back
Top Bottom