#COVID19 Njia ya kujikinga na mlipuko wa virusi vya homa ya mapafu au Coronvirus

Coronavirus: Ni kina nani walio katika hatari ya kupata ugonjwa huu?

Two medical workers put on protective clothing at a hospital to treat coronavirus patients in Wuhan, China.

CHANZO CHA PICHA,GETTY IMAGES
Maelezo ya picha,
Zaidi ya nchi 50 zimethibitisha kupata visa vya coronavirus
Watafiti wanafikiria kwamba kati ya visa 5 na 40 vya coronavirus inakisiwa kwamba watu 9 kati ya 1,000 au asilimia 1 huenda wakaaga dunia.

Lakini inategemea na mambo kadhaa: umri, jinsia na hali yako ya afya na mfumo wa afya kwa ujumla.
Kwanini ni vigumu kufahamu idadi kamilia ya vifo vinavyotokea?

Hata kuhesabu visa vya ugonjwa huo vinavyotokea ni mtihani.

Visa vingi vya Coronavirus havihesabiwi kwasababu watu hawaendi kwa daktari wakiwa na dalili ambazo bado hazijajitokeza vizuri.
Idadi tofauti tofauti ya vifo vinavyoripotiwa kote duniani huenda ni kwasababu nchi mbalimbali ama zina uwezo mzuri au bado hazina uwezo wa kubaini dalili za mbali za virusi hivyo, kulingana na utafiti uliofanywa na Imperial College.

Lakini pia inachukua muda kabla ya maambukizi kusababisha kifo au mgonjwa kupona.
  • Walio katika hatari ya kupata Coronavirus ni kina nani?
Baadhi ya watu wako katika hatari ya kufa iwapo watapata coronavirus: wazee, wale ambao tayari ni wagonjwa na pengine wanaume.
Katika utafiti wa kwanza mkubwa wa visa zaidi ya 44,000 kutoka China, idadi ya waliokuwa ilikuwa mara 10 zaidi kwa wazee ikilinganishwa na watu wenye umri wa makamo.

Death rates for different groups

Idadi ya waliokua na umri wa chini ya miaka 30 ilikuwa chini - kulitokea vifo vinane peke yake kati ya visa 4,500.
Na idadi ya vifo ilikuwa angalau mara tano zaidi kwa watu wenye ugonjwa wa kisukari, shinikizo la juu la damu au matatizo ya moyo ama ya kupumua.
Pia idadi ya wanaume waliokufa kwa Coronavirus ilikuwa ya juu kidogo ikilinganishwa na wanawake.
Someone wearing a face mask stands on the balcony of the quarantined Diamond Princess cruise ship

CHANZO CHA PICHA,GETTY IMAGES
Maelezo ya picha,
Watu karibia 621 waliambukizwa Coronavirus katika meli ya Diamond Princess nchini Japani
Je hatari iliyopo kwa watu wa eneo fulani ni ipi?
Kundi la wanaume wa miaka 80 nchini China huenda wakawa na vigezo tofauti na wanaume wa umri sawa na huo Ulaya ama Afrika ambavyo vinaweza kuwaweka katika hatari ya kupata coronavirus.
Pia matumaini ya kupona yanatgemea tiba utakayopata.
Hilo linategemea na tiba iliyopo na kiwago cha mlipuko.
Iwapo mlipuko utatokea ghafla basi huenda mfumo wa afya ukakumbwa na visa vingi.
Royal Free Hospital in London

CHANZO CHA PICHA,GETTY IMAGES
Maelezo ya picha,
Wagonjwa wa Coronavirus Uingereza wakitibiwa katika kituo maalum katika hospitali ya Royal Free London
  • Je ugonjwa huu ni mbaya zaidi kushinda mafua?
Hatuwezi kulinganisha kuwa na data kamili ya vifo vinavyotokea kwasababu watu wengi wenye dalili za wastani za mafua hawaendi kumuona daktari.
Kwahiyo ni vigumu kutambua kuna visa vingapi vya mafua au virusi vyovyote vipya kila mwaka.
Lakini bado mafua yanauwa watu wengi Uingereza kila msimu wa baridi.
Ushauri wa Shirika la Afya Dunia (WHO) ni kwamba unaweza kujilinda kutokana na virusi vya vinavyosababisha maradhi ya matatizo ya kupumua kwa kunawa mikono wako, kuepuka watu wanaokohoa, chemua na kujaribu kutogusa masikio, pua au mdomo wako.
Pia unaweza kutazama:

Maelezo ya video,
Namna sahihi ya kuosha mikono kuzuia Coronavirus
Ni nani anayepaswa kujitenga?
Unahitaji tu kujitenga kama umeambiwa ujitenge na maafisa wa afya.
Kwa kawaida wanaoambiwa wajitenge ni wale ambao''wamekua karibuni ama wako karibu'' na watu binafsi ambao walithibitishwa kuwa na virusi- waliobainika kukaa dakika 15 katika umbali wa mita mbili kutoka alipo mtu alieambukizwa.
Inakua ni lazima kujitenga na watu hususan kama umesafiri katika maeneo ya ndani ya China, Thailand, Japan, Korea kusini, Hong Kong, Taiwan, Singapore, Malaysia au Macau katika kipindi cha siku 14 zilizopita na una dalili kama vile kikohozi, homa ya mwili na kushindwa kupumua vizuri.
Katika hali kama hii, usiende kwa daktari au kituo cha afya.
Badala yake kaa nyumbani.
Unashauriwa kuwasiliana mara moja na maafisa wa afya au hopsitali ili kupata usaidizi wa haraka wa matibabu.
 

Virusi vya Corona: Jinsi unavyoweza kufanikiwa binafsi kujitenga ili kuepusha maambukizi.

Generic picture of woman at home on a sick day

CHANZO CHA PICHA,GETTY IMAGES
Maelezo ya picha,
Watu wanaweza kuombwa wabaki nyumbani kwa muda wa wiki mbili kama walikuwa karibu na watu wenye maambukizi ya virusi vya corona
Watu wengi wanaweza kuwa wataombwa wajitenge na wengine ili kuepuka kueneza virusi vya Corona kutokana na kuenea kwa ugonjwa huo.
Lakini unapaswa kufanya nini ikiwa uko hatarini?

Zaidi ya watu 80 kwa mfano wametengwa nchini Uingereza kwa uchunguzi wa Virusi vya Corona.
Hakuna idadi rasmi za watu walioshauriwa kujitenga na watu wengine, lakini hatua ya kujitenga binafsi inaonekana kama njia muhimu ya kupunguza usambaaji wa virusi.
Lakini kujitenga mwenyewe inamaana gani na ni vipi unaweza kuhakikisha kujitenga kwako kunakuwa na mafanikio?
A Kenyan health worker (L) screens a passenger wearing face mask after they arrived from China, at Jomo Kenyatta International Airport in Nairobi, Kenya, 29 January 2020

CHANZO CHA PICHA,EPA
  • Ni nani anayepaswa kujitenga?
Unahitaji tu kujitenga kama umeambiwa ujitenge na maafisa wa afya.
Kwa kawaida wanaoambiwa wajitenge ni wale ambao''wamekua karibuni ama wako karibu'' na watu binafsi ambao walithibitishwa kuwa na virusi- waliobainika kukaa dakika 15 katika umbali wa mita mbili kutoka alipo mtu alieambukizwa.
Inakua ni lazima kujitenga na watu hususan kama umesafiri katika maeneo ya ndani ya China, Thailand, Japan, Korea kusini, Hong Kong, Taiwan, Singapore, Malaysia au Macau katika kipindi cha siku 14 zilizopita na una dalili kama vile kikohozi, homa ya mwili na kushindwa kupumua vizuri.
Katika hali kama hii, usiende kwa daktari au kituo cha afya.
Coronavirus pods outside Dorset County Hospital

CHANZO CHA PICHA,GETTY IMAGES
Maelezo ya picha,
Ukiwa na dalili za virusi vya Corona unashauriwa kujitenga binafsi ili kuepuka maambukizi zaidi
Badala yake kaa nyumbani.
Unashauriwa kuwasiliana mara moja na maafisa wa afya au hopsitali ili kupata usaidizi wa haraka wa matibabu.

Unapaswa kufanya nini unapojitenga kwa ajili ya kutoambukiza watu wengine virusi vya Corona?
  • Ushauri kutoka kwa wataalamu wa afya ni kwamba ''ni jambo la kutumia akili ya kawaida'' jizuwie kukaribiana na watu wengine kadri uwezavyo - kama vile tu ambavyo ungefanya kama ungekua na mafua.
Hii ina maana kuwa unapaswa kubakia nyumbani kwa siku 14, na kutoenda kufanya kazi, shule au katika maeneo ya umma.
Woman wearing a facemask in a London supermarket

CHANZO CHA PICHA,GETTY IMAGES
Maelezo ya picha,
Usiende madukani au sokoni - agiza bidhaa au muombe rafiki akusaidie
Unapaswa kukaa kwenye chumba chenye hewa safi ya kutosha chenye dirisha linaloweza kufunguliwa, tofauti na vyumba vya watu wengine nyumbani kwenu.
Pia usiwakaribishe wageni kwako.

Ni vipi kama unaishi na mtu ambaye amejitenga kutokana na virusi vya Corona?
Ingawa inaweza kuwa vigumu kujitenga na mtu kutoka familia yako ama jirani yako kabisa, ushauri ni kuwa na ukomo wa ukaribu na mtu anayeshukiwa kuwa na maambukizi kwa kadri uwezavyo.
Ushauri wanaopewa watu wenye uwezekano wa kuugua virusi vya Corona ni pamoja na kunawa mikono mara kwa mara kwa kutumia sabuni kwa walau dakika 20- hususani baada ya kugusana na mgonjwa au kugusa kifaa au kitu alichokigusa au kukitumia.
  • Inashauriwa usitumie vifaa vya nyumbani na mtu ambaye ametengwa.
Pia kama wanachumba tofauti na kama inawezekana wanapaswa kuwa na choo na bafu lao.
Inashauriwa pia kuonsha sakafu ya nyumba kila siku, kwa kutumia gloves kama unazo.
Uchafu ambao umetoka ama umeguswa na mgonjwa aliyetengwa unapaswa kuwekwa kwenye karatasi ya plastiki ya uchafu na kufungwa na kuwekwa katika karatasi nyingine.
 

Coronavirus: Je nchi za Afrika ziko tayari kukabiliana na janga hili?​

A Kenyan health worker (L) screens a passenger wearing face mask after they arrived from China, at Jomo Kenyatta International Airport in Nairobi, Kenya, 29 January 2020

CHANZO CHA PICHA,EPA
Afrika ni moja ya mabara mwili ambayo bado hayajathibitisha kisa chochote cha virusi vya corona ingawa wataalamu wameonya kuwa hilo huenda lisiendelee kwa kipindi kirefu kwasababu ya uhusiano wa bara hilo na China.
Kufikia sasa China imerekodi karibu visa 80,000 vya coronavirus. Jumla ya watu 2,790 wamefariki, wengi wao katika mkoa wa Hubei.
Majuma kadhaa yaliyopita, Shirika la Afya Duniani (WHO) lilitangaza kwamba mlipuko wa virusi vya corona ni ugonjwa wa dharura kwa dunia nzima kwasababu ya hofu kwamba nchi maskini huenda zikashindwa kukabiliana na mlipuko huo.
"Sababu kuu ya kutambua virusi hivi kama hali ya hatari duniani sio Uchina, lakini kile kinachotokea katika nchi zingine. Wasiwasi wetu mkubwa ni uwezo wa kusambaa kwa virusi hivyo, katika nchi zenye mfumo dhaifu wa afya," amesema mkuu wa WHO, Tedros Adhanom Ghebreyesus, kutoka Ethiopia.
Mifumo ya afya katika nchi nyingi za Afrika tayari inakabiliwa na ugumu wa kazi zilizolimbikizana, na hapo ndipo tunapojiuliza, je nchi hizi zinaweza kukabiliana na mlipuko kama huu ambao unasambaa kwa haraka mno?
Michael Yao, Mkuu wa huduma za dharura eneo la Afrika, amesema "baadhi ya nchi za Afika sio kwamba hazina pa kuanzia lakini uwezo ni mdogo sana".
"Tunajua vile mfumo wa afya ulivyo dhaifu katika bara la Afrika na mifumo hii tayari inazidiwa na milipuko ambayo inaendelea kujitokeza, kwa hiyo kwetu sisi ni muhimu kuutambua mapema kama janga ili tuweze kudhibiti usambaaji wake."

Ni vifaa gani vilivyopo kwasasa vya kukabiliana na mlipuko wa virusi hivi?​

Hadi mapema wiki hii, kulikuwa na maabara mbili pekee zenye uwezo wa kuchunguza virusi hivi barani Afrika - Senegal na Afrika Kusini - zenye vifaa maalumu vinavyohitajika wakati wa kuchunguza virusi hivyo.
Maabara hizo zimekuwa zikitumika na nchi nyingine katika eneo hilo.
Moja ya maabara hizo, Institut Pasteur de Dakar, nchini Senegal kwa kipindi kirefu imekuwa mstari wa mbele katika ubunifu wa tiba Afrika ikiwemo utafiti wa homa ya manjano.
Hata hivyo wiki hii, Ghana, Madagascar, Nigeria na Sierra Leone zimetangaza kwamba pia nazo zina uwezo wa kufanya vipimo vya virusi vya corona.
A member of staff works in a laboratory

CHANZO CHA PICHA,AFP
Maelezo ya picha,
Maabara ya Institut Pasteur de Dakar nchini Senegal ni moja yenye vifaa stahiki vya kupimia virusi vya corona
WHO pia inatuma vifaa vya maabara 29 barani humu kuhakikisha zina uwezo wa kukabiliana na virusi hivyo na pia zisaidie katika kupima visa vitakavyojitokeza ili kuthibitisha iwapo virusi hivyo vipo kwa ajili ya nchi zingine zenye uhitaji.
Hata hivyo, shirika hilo lina matumaini kwamba kufikia mwishoni mwa mwezi huu karibu nchi 36 za Afika zitakuwa na vifaa stahiki vya kupima virusi vya corona.
Uwezo wa nchi za Afrika kupima na kutambua virusi hivyo "unategemea vifaa maalumu vinavyotoka China na Ulaya," amesema Daktari Yao.
Shirika la Msalaba Mwekundu nchini Nigeria lina watu milioni moja wa kujitolea ambao wako tayari kulisaidia iwapo kutatokea chochote.
Katibu mkuu wa shirika hilo Abubakar Ahmed Kende amesema hatua hiyo inanuia kuzuia uwezekano wowote wa kusambaa kwa virusi hivyo nchini humo na pia kudhibiti mlipuko wa homa ya Lassa ambayo visa vyake vinazidi kuogezeka kote nchini humo.
Nchini Tanzania, Waziri wa afya Ummy Mwalimu alitangaza kwamba vituo vimetengwa kaskazini, mashariki na magharibi mwa nchi hiyo kukabiiana na virusi hivyo. Pia vipima joto vimewekwa tayari huku wahudumu wa afya zaidi ya 2,00o wakipewa mafunzo.
Nchi kadhaa zikiwemo Kenya, Ethiopia, Ivory Coast, Ghana na Botswana zimekabiliana na visa vilivyoshukiwa kuwa vya virusi hivyo, na kuwaweka wahusika kwenye karantini wakati vipimo vyao vya damu vinafanyiwa uchunguzi.
Hatahivyo hadi kufikia sasa vipimo vyote vilivyochunguzwa hakuna kilichothibitika kuwa na virusi hivyo.
Wizara ya afya ya Uganda imethibitisha kwamba ilikuwa imewawekwa watu zaidi ya 100 kweye karantini waliowasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Entebbe.
Baadhi ya watu hao wamewekwa katika karantini kwenye hospitali mbili mjini Entebbe na Kampala, huku wengine wakiombwa kusalia majumbani.

Je kuna mafunzo yoyote kutokana na ugonjwa wa Ebola?​

Daktari Yao alihusika katika milipuko ya Ebola magharibi mwa Afrika 2014-2016 na wa hivi karibuni zaidi ukiwa ule uliotokea Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo. Alisema ana wasiwasi kwamba Afrika haina uwezo wa kutosha kutibu watakaothibitishwa kuwa virusi vya corona.
"Tunashauri nchi angalau kuwa na uwezo wa kubaini virusi hivyo mapema kuzuia kusambaa kwa virusi vipya ndani ya jamii - jambo ambalo litafanya iwe vigumu kuudhibiti," amesema.
Kinachotia matumaini ni kwamba nchi nyingi za Afrika tayari zilikuwa zinachunguza abiria wanaowasili katika viwanja vyao vya ndege kwasababu ya ugonjwa wa Ebola.
Nchi ambazo zilikuwa zinakabiliana na Ebola bado zina vituo vilivyotengwa na wataalamu kama njia moja ya kudhibiti kusambaa kwa ugonjwa huo.
Lakini linapokuja suala la kutambua, Ebola ni tofauti kabisa na virusi vya corona.
Ebola inaambukiza tu wakati dalili zimeanza kujitokeza lakini kuna taarifa kwamba katika baadhi ya visa, virusi vya corona huenda vikasambaa hata kabla mgonjwa kuanza kuonesha dalili zozote.

Vipi kuhusu usafiri kati ya Afrika na Uchina?
Uhusiano wa karibu wa kibiashara kati ya Uchina na nchi za Afrika umezua wasiwasi kwamba huenda virusi hivyo vikasambaa.
Uchina ni mshirika mkubwa wa kibiashara wa Afrika na karibia makampuni 10,000 ua Uchina kwasasa yanaendesha shughuli zao kote barani humo. Chombo cha habari cha Uchina kimesema zaidi ya raia milioni moja wa uchina wanaishi Afrika.
Pia kuna zaidi ya wanafunzi 80,000 wa Afrika nchini Uchina, wengi wao wakiwa wameenda kusoma baada ya kupata ufadhili wa masomo gazeti la the Guardian limesema.
Mwanafunzi mwenye umri wa miaka 21 kutoka Cameroon alisemekana kwamba amepata virusi hivyo baada ya kwenda mji wa Wuhan na kwasasa anaendelea kupata matibabu.
Wanafunzi wa Uchina pia wanasafiri kote barani Afrika vilevile kwasababu ya ufadhili za masomo.
Presentational grey line

A passenger walks past a coronavirus health sign in South Sudan

CHANZO CHA PICHA,GETTY IMAGES
Maelezo ya picha,
Nchi za Afrika ziko kwenye tahadhari kubwa ya kusambaa kwa virusi vya corona
Mashirika mengi ya ndege kote duniani yamesitisha safari zake za ndege kwenda Uchina. Vilevile, Mashirika ya ndege za Afrika yamekuwa na shinikizo kubwa la kusitisha safari zake.
Mashirika ya ndege ya Mirsi, Kenya, Morocco na Rwanda yamesitisha safari zake lakini shirika kubwa zaidi la ndege barani humo Ethiopia bado linaendelea na safari zake kama kawaida.
Shirika la WHO limeshauri dhidi ya kuweka vikwazo vya usafiri na badala yake limebaini nchi 13 Afrika, ambazo zimetakiwa kuwa na tahadhari ya hali ya juu kwasababu ya uhusiano wake wa moja kwa moja na Uchina. Pia linapanga kutoa usaidizi kwa nchi hizo 13 kufikia mwishoni mwa wiki hii.

Je nchi 13 zinazopewa kipaumbele na WHO barani Afrika ni zipi?​

 

Virusi vya corona: Marekani iko tayari kufanya kazi bega kwa bega na Tanzania kuishinda Covid-19​

Saa 4 zilizopita
Unalozi wa Marekani

Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania umesema kuwa Marekani iko tayari kushirikiana na Tanzania kuzuia kusambaa kwa COVID-19, na kuishinda.
Katika taarifa iliyotumwa kwenye mtandao rasmi wa Ubalozi huo, Balozi wa Marekani nchini humo Dionald Wright amesema '' Ninataka kuzungumzia kuhusu Covid-19 na jinsi tunavyoweza kushirikiana kwa pamoja kuzuia kusambaa kwake na kutusaidia sisi sote kukaa salama''
Haya yanajiri baada ya Marekani kutoa tanagazo juma lililopita ikiwatahadharisha watu dhidi ya kusafiri nchini Tanzania kutokana na corona.
Hivi karibuni Rais Magufuli ashiria kubadili msimamo wake kuhusu ugonjwa wa Covid- 19

CHANZO CHA PICHA,AFP
Maelezo ya picha,
Hivi karibuni Rais Magufuli ashiria kubadili msimamo wake kuhusu ugonjwa wa Covid- 19
Hata hivyo hivi karibuni Tanzania imeonyesha kuimarisha juhudi za kukabiliana na virusi vya corona huku rais Magufuli akisema serikali yake haijamzuia mtu yeyote kuvaa barakoa.
Tamko hilo liliashiria kuwa Rais Magufuli amebadili msimamo wake kuhusu ugonjwa wa Covid 19.
Rais ailitoa wito kwa wananchi wenzake kuendelea kuchukuwa tahadhari dhidi ya ugonjwa wa corona kama wanavyoelekezwa na wataalamu wa afya, akisisitiza kwamba serikali yake haijamzuia mtu yeyote kuvalia barakoa...Magufuli: 'Hatujazuia matumizi ya barakoa'
Tangu wakati huo viongozi na baadhi ya watu wamekua wakionekana kuchukua tahadhari hususan uvaaji wa barakoa na unawaji wa mikono.
Waziri anayehusika na masuala ya afya nchini Tanzania Dkt Doroth Gwajima Ijumaa kupitia tangazo lililotumwa mwenye mtanda wa Twitter wa Wizara ya anayoingoza aliwaomba viongozi na wananchi kushirikiana kuongeza kasi zaidi ya kudhibiti magonjwa ya kuambukiza na yasiyo ya kuambukiza.
Dkt Gwajima amekuwa akihimiza matumizi ya dawa za asili katika kukabiliana na magonjwa ya mfumo wa upumuaji

Balozi wa Marekani amesema nini?​

Katika taarifa yake iliyoanza kwa kujitambulisha na kutoa salamu, '' Habari zenu'', Balozi Wright amesema tangu Covid-19 ilipoanza karibu watu milioni mbili na nusu wamekufa kutokana na ugonjwa huo.
Ruka Twitter ujumbe, 1

Mwisho wa Twitter ujumbe, 1
Akitoa athari za ugonjwa huo kwa nchi yake Balozi Wright amesema: ''Tuliwapoteza zaidi ya raia wenzetu 500,000. Na kuyafanya mambu kuwa magumu, aina mpya ya virusi vya corona imesababisha wimbi jingine la maambukizi kote duniani, ikiwemo Afrika . Imekuwa wazi kuwa aina ya virusi pia imewasili Tanzania'', amesema Balozi Donald Wright.
Katika taarifa hiyo yabalozi wa Marekani nchini Tanzania ameendelea kusema kuwa ametiwa moyo na taarifa za hivi karibuni kuhusu juhudi za kupambana na virusi vya corona:
''Nimetiwa moyo na taarifa za hivi karibuni kutoka kwa Wizara ya Afya kukubali COVID-19 kama kipaumbele cha afya ya umma nchini Tanzania na kuwataka raia kuchukua tahadhari za kimsingi : kama vile kuepuka umati, kuvaa barakoa, na kukaa mbali. Huu ni usahuri mzuri na ninamuomba kila mmoja aufuate, anasema.
Zaidi ya kutekeleza tahadhari za dharura za kimsingi kuzuia kusambaa kwa Covid-19, Balozi Wright ameishauri Tanzania kutumia walau mbinu nyingine mbili muhimu katika kudhibiti janga la corona ya kwanza ikiwa ni kukusanya na kuripoti taarifa kuhusu upimaji na visa.
''Kwanza ili kujua kama hatua ulizochukua zinaathari ulizozilenga, ni muhimu kukusanya na kuripoti taarifa kuhusu upimaji na visa'', alisema katika taarifa hiyo.
Mbinu ya pili ni chanjo:''Kama Waziri wetu wa mpya wa mambo ya nje Tony Blinken alivyosema "hadi kila mtu atakapokuwa amechanjwa, hakuna yeyote ambaye ni salama kabisa."
Balozi wa Marekani nchini Tanzania ameitolea wito serikali ya Tanzania kuchukua tahadhari za kimsingi za kuzuia kusambaa kwa maambukizi ya Covid -19

CHANZO CHA PICHA,AFP
Maelezo ya picha,
Balozi wa Marekani nchini Tanzania ameitolea wito serikali ya Tanzania kuchukua tahadhari za kimsingi za kuzuia kusambaa kwa maambukizi ya Covid -19
Akitoa mfano wa kampeni ya chanjo inayoendelea nchini mwake alisema '' Ninaitolea wito Serikali ya Tanzania kuwakusanya wataalamu wake wa afya na kutathmini ushahidi kuhusu chanjo.
Amesema Marekani kama muhisani mkubwa zaidi wa afya na msaada wa kibinadamu inaendelea kuongoza juhudi za dunia za kukabiliana na janga la Covid-19 , ikichangia zaidi ya dola bilioni 1.5 kwa ajili juhudi za kupunguza COVID-19 kote duniani na iliahidi dola bilioni 4 kwa ajili ya kuharakisha usambazaji wa chanjo.
'' Hapa nchini Tanzania, tulijitolea kutoka dola milioni 16.4 kwa ajili ya kupambana na janga la Covid-19 tangu kisa cha mtu wa kwanza kupatikana na virusi mwezi 2020. Marekani iko tayari kuongeza juhudi zetu na tuko tayari kujitolea kufanya kazi bega kwa began a Tanzania kuishinda Covid-19', amesema.
 
RAIS WA MADAGASCAR.jpg

“WHO offered me 20million dollars to put a little toxic in my Covid-19 remedy” – Madagascar President exposes WHO​

Madagascar President Andry Rajoelina has allegedly declared that the World Health Organization, WHO offered him $20,000,000 to put a little toxic in their remedy for coronavirus as the Europeans hacked their Remedy.

Andry Rajoelina says: “People be vigilant, the World Health Organization that we have joined by thinking that it will help us, is there to kill Africans.”

“My country Madagascar has found a cure for coronavirus but the Europeans have told me a proposed $20,000,000 to put toxins in this remedy to kill my African friends who will use it. I ask all Africans not to use their coronavirus vaccine, because it’s killing, come to Madagascar you who are sick, my country is ready to receive you with enthusiasm, our remedy is in yellow color, do not buy the one of the green color, the one of the green color comes from Europe, the Europeans hacked our remedy, they have put poisons to kill only the Africans as they wanted with the vaccines that we protest.” He added

“Please share this message because it is urgent, they hacked our medicine, I want all the Africans to know it, please do not keep this message with you, share!” He concluded. “WHO offered me 20million dollars to put a little toxic in my Covid-19 remedy” – Madagascar President exposes WHO
 
RAIS WA MADAGASCAR.jpg

KUPUNGUZA: MADAGASCAR YAIACHA SHIRIKA LA AFYA DUNIANI JUU YA COVID-19

Rais wa Madagaska, Andry Ranoelina, ameiondoa nchi yake kutoka Shirika la Afya Ulimwenguni. Kwa hasira alisema:

"Ulaya iliunda mashirika na hamu ya Waafrika kubaki kuwategemea.

Afrika imepata dawa dhidi ya virusi vya Corona lakini Ulaya inadhani wana ukiritimba wa ujasusi kwa hivyo wanakataa kuitambua.

Kuanzia leo, hatuko tena wanachama wa Shirika la Afya Ulimwenguni. "
"WHO ilinipa dola milioni 20 ili kuweka sumu kidogo katika dawa yangu ya Covid-19" - Rais wa Madagascar afichua WHO

Rais wa Madagaska Andry Rajoelina amedaiwa kutangaza kwamba Shirika la Afya Ulimwenguni, WHO lilimpa $ 20,000,000 ili kuweka sumu kidogo katika dawa yao ya coronavirus wakati Wazungu walipokanya Dawa yao.

Andry Rajoelina anasema: "Watu wawe macho, Shirika la Afya Ulimwenguni ambalo tumejiunga nalo kwa kufikiria kuwa litatusaidia, liko kuua Waafrika."

"Nchi yangu Madagaska imepata tiba ya koronavona lakini Wazungu wameniambia pendekezo la dola

20,000,000 za kuweka sumu katika dawa hii kuua marafiki wangu wa Kiafrika ambao wataitumia. Ninawauliza

Waafrika wote wasitumie chanjo yao ya coronavirus, kwa sababu inaua, njoo Madagascar wewe ambaye ni

mgonjwa, nchi yangu iko tayari kukupokea kwa shauku, dawa yetu iko katika rangi ya manjano, usinunue ile ya
rangi ya kijani kibichi, ile ya rangi ya kijani kibichi inatoka Ulaya, Wazungu walidukua dawa yetu, wameweka

sumu kuua Waafrika tu kama walivyotaka na chanjo ambazo tunapinga. " Aliongeza Tafadhali shiriki ujumbe

huu kwa sababu ni wa haraka, walidanganya dawa yetu, nataka Waafrika wote waijue, tafadhali usiweke

ujumbe huu nawe, shiriki! ” Alihitimisha. “WHO offered me 20million dollars to put a little toxic in my Covid-19 remedy” – Madagascar President exposes WHO
 

WHO THE BOSS.png

WHO Finally congratulates Madagascar, supports the country’s Covid-19 herbal remedy​

The World Health Organisation (WHO) has sent its congratulations to Madagascar on its efforts in finding a potential discovery of a coronavirus cure, a herbal remedy, called COVID Organics.

The health organisation mended fences with the Southern African country, on Wednesday following a virtual meeting between the country and Tedros Ghebreyesus, the Director-General of the WHO.

Andry Rajoelina, the President of Madagascar stated that the WHO declared their support for COVID Organics, reports.

Rajoelina, who made this known via Twitter, said the United Nations specialised agency on global health expressed its support for the clinical observation of the ‘tonic’ touted as cure for coronavirus.

He said, “Successful exchange with Tedros Ghebreyesus who commends Madagascar’s efforts in the fight against COVID-19 and congratulates us for the discovery of COVID Organics.

“WHO will sign a confidentiality clause on its formulation and will support the clinical observations process in Africa.”

The Madagascar President said the meeting followed the invitation by WHO to register the drug for clinical trials in fighting the coronavirus, adding that his country would prove the effectiveness of the COVID Organics.

Madagascar sent consignments of the herbal drug made from Artemisia annua to African nations.

Nigeria’s President, Muhammadu Buhari, received the consignment apportioned to Nigeria from President Umaro Embaló of Guinea Bissau on Saturday, saying it would be subjected to scientific validation. WHO Finally congratulates Madagascar, supports the country’s Covid-19 herbal remedy
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom