G gearbox JF-Expert Member Apr 20, 2024 492 1,338 Apr 28, 2024 #1 Nina router nataka kuisafisha nimeshaifungua lakini nimeona niwaulize nitumie kimiminika gani kuisafisha
Nina router nataka kuisafisha nimeshaifungua lakini nimeona niwaulize nitumie kimiminika gani kuisafisha
PakiJinja JF-Expert Member Jan 16, 2012 7,777 16,050 Apr 28, 2024 #3 gearbox said: Nina router nataka kuisafisha nimeshaifungua lakini nimeona niwaulize nitumie kimiminika gani kuisafisha Click to expand... Tumoa Cocacola
gearbox said: Nina router nataka kuisafisha nimeshaifungua lakini nimeona niwaulize nitumie kimiminika gani kuisafisha Click to expand... Tumoa Cocacola
K Kinyonyok Member Mar 6, 2024 27 38 Apr 28, 2024 #4 Waweza tumia ata petroli kama itakua ngum kupata waweza tumia mafta ya taa
That Gentleman JF-Expert Member Dec 16, 2016 2,195 3,611 Apr 29, 2024 #6 CRC / WD-40 ila iwe ya Electronic
Mbaga Jr JF-Expert Member May 28, 2018 20,048 44,172 Apr 29, 2024 #7 Naskia ht konyagi ni spirit hvy unaweza kutumia