Nitapata wapi Nokia E series kama hii?

Singasinga

JF-Expert Member
Aug 27, 2011
2,658
3,178
Wakuu natafuta hii simu old model

images (60).jpg
 
Wakuu natafuta hii simu old modelView attachment 2864618
Zipo nyingi mno
Just found this amazing item on AliExpress. Check it out! TZS83,939.53 30%OFF | Original E72 Mobile Cell Phone GSM 3G Unlocked Wifi 5MP 480p Cellphone English Hebrew Russian Arabic Keyboard. Made in Finland
 
Nenda pale msimbazi b nafikiri
Kuna duka lipo kulia kama unaenda pale mataa kuna duka la wahindi wale sijui utapata toleo lote nokia za zamani.
 
Back
Top Bottom