Nitaambiwa nachochea chuki, jioneeni hapa👇

Ulichokiandika hakina maana yoyote, mpaka hapo umeonyesha ni jinsi gani umejawa chuki na ubaguzi

So, tuishie hapo.
Hii ndio technique yenu kubwa, mkiambiwa ukweli na maneno ya kuwachoma, mnakimbilia kusema "Chuki" na "Ubaguzi"

kama unadhani nina chuki au ubaguzi dhidi ya waarabu, I seriously don't give a f*ck.
 
Assalaam alaykum warahmatullah

Mada inahusu chuki, wivu, ubaguzi na roho mbaya kwa jamii ya waarabu....Nchi nyingi duniani especially sio za kiislamu, wengi wao hawawapendi waarabu na uislamu kwa ujumla, ukija kwenye maisha ya kawaida mwarabu anaonekana kuchukiwa sana, ukija kwenye suala la soka/mpira wa miguu bado mwarabu anachukiwa na kupelekewa kutukanwa. Binafsi sioni sababu ya yeye kuchukiwa, sioni kosa la waarabu, binafsi bado sijaona duniani kote jamii iliyostaarabika kama waarabu/waislamu, tembea duniani kote huwezi ukakuta watu wakarimu na wana imani kubwa kama waarabu, nawapa 💯. Kwanza ukimchukia na kumsema vibaya mwarabu najisikia vibaya, maana hata Mtume wetu Muhammad S.A.W alikua mwarabu, so nachukia sana hilo.

Nadhani wengi wetu tumeshuhudia mashindano yaliyopita ya AFL, kati ya Clubs za Afrika ya kaskazini na za upande mwingine, mnajionea kwa kile kinachoendelea dhidi ya nchi za kiislamu. Asilimia kubwa ya waafrika, especially wasio waislamu most of them wapo upande wa timu za kiafrika/weusi, sijalizimisha mtu ushabikie timu flani naomba nisieleweke vibaya, lakini unashabikia na kutoshabikia timu flani kwa lengo lipi!! Nachokiona mimi si kingine, ni rangi/race/mwarabu, huu ni ubaguzi wa wazi, na kila mara nakemea suala hili lakini naonekana mpumbavu, yani kuna watu tayari chuki zimo ndani ya nyoyo zao, na ni ngumu sana kumbadilisha mtu huyu, Allah atawaongoza watu hawa.

Lakini kwanini unamchukia mwarabu kiasi hicho! Nini haswaa amekukosea mpaka umchukie! Najionea katika mashindano mbali mbali duniani, yani mtu mweusi anadiriki kushabikia ufaransa, portugal n.k na kuipiga teke Morocco 🇲🇦 kweli!! 😁 nadhani hata wazungu walishangaa sana kuona hii kitu

Haya sasa, ukija kwenye timu zetu, jana umepigwa mpira kati ya Mamelodi na Wydad Casablanca, yani hapo ndio utajionea watu walivyo na chuki na ubaguzi wa kidini+ubaguzi kwa waarabu, sipati picha mamelodi angecheza na timu za wazungu kama, Man U, Chelsea au Arsenal hapo tutaona ubaguzi kweli!!! kila mtu ataegemea upande wake bila kuingiza chuki, ubaguzi wa kidini na ubaguzi wa rangi sio!!!!. Ila mara nyingi tunaliona kwa hao ndugu zetu wana kaskazini n.k.

Hizi ni baadhi ya comments za wadau nimescreen short mjionee wenyewe kwakweli inasikitisha sana, Allah atawaongoza, cha kushangaza hata baadhi ya waislamu wapo kwenye njia hiyo hiyo, so binafsi nawaona ni waislamu jina tu.

👇
Semi final, mamelodi and al ahly
First final, Wydad and Mamelodi

View attachment 2812952View attachment 2812953View attachment 2812954View attachment 2812958

Second final, Mamelodi and Wydad
View attachment 2812942View attachment 2812943View attachment 2812944View attachment 2812945View attachment 2812946View attachment 2812947View attachment 2812948View attachment 2812949

👆inasikitisha sana, ni chuki iliyoje!

Ni baadhi ya comments hizo

Haya wale wadini na wabaguzi+chuki, hiyo inawahusu. Badilikeni, aleyommba gekke bhabhaa badilikeni.

Not Racism

Bhujiku ng'waka!
Nimemaliza
Afu ukimaliza kudanganya kuwa jamii ya kiarabu imestaarabika 𝐮𝐧𝐚𝐤𝐢𝐦𝐛𝐢𝐥𝐢𝐚 𝐮𝐥𝐚𝐲𝐚!! Jaribu kuwa mkweli, achana na mahaba niue
 
Asiogope, unapomuona ndugu yako ameteleza sehemu usisite kumpa nasaha

so, Napinga sana ubaguzi wa aina yoyote ile, na sio kwamba hakuna muislamu ambae anamchukia mwarabu, wapo tu, hata humu jamiiforum huenda wapo baadhi, sasa mtu huyu anajiita salum au abdallah na moyo wake umejaa chuki dhidi ya mwenzie unategemea nini!! Huyo hana uislamu wowote, ni muislamu jina tu.
Na ndiyo shida iliyopo. Waislam hawapendi kukosoana ktk mada kama hizi hata waliona mwenzao amekosea na hili huwa nasema kila siku humu. Hapa kwa kuwa umezingua Kuna watu hapa wanapita bila kukoment chochote na hutowaona hapa wakichangia.
Inshort we jua umezingua basi.
 
Mindset za waarabu waislamu zipo hapa.Sababu wao ndio wabaguzi toka enzi.
NB: SOMA HAPA
Qur'an 9:30
Qur'an 8:12
وَقَالَتِ الْيَهُودُ عُزَيْرٌ ابْنُ اللَّهِ وَقَالَتِ النَّصَارَى الْمَسِيحُ ابْنُ اللَّهِ ۖ ذَٰلِكَ قَوْلُهُمْ بِأَفْوَاهِهِمْ ۖ يُضَاهِئُونَ قَوْلَ الَّذِينَ كَفَرُوا مِنْ قَبْلُ ۚ قَاتَلَهُمُ اللَّهُ ۚ أَنَّىٰ يُؤْفَكُونَ
AT-Taubah 9:30 (The Repentance)
Na Mayahudi wanasema: Uzeir ni mwana wa Mungu. Na Wakristo wanasema: Masihi ni mwana wa Mungu. Hiyo ndiyo kauli yao kwa vinywa vyao. Wanayaiga maneno ya walio kufuru kabla yao. Mwenyezi Mungu awaangamize! Wanageuzwa namna gani hawa!
Screenshot_20231114-193442_Facebook.jpg

Screenshot_20231114-193503_Facebook.jpg

إِذْ يُوحِي رَبُّكَ إِلَى الْمَلَائِكَةِ أَنِّي مَعَكُمْ فَثَبِّتُوا الَّذِينَ آمَنُوا ۚ سَأُلْقِي فِي قُلُوبِ الَّذِينَ كَفَرُوا الرُّعْبَ فَاضْرِبُوا فَوْقَ الْأَعْنَاقِ وَاضْرِبُوا مِنْهُمْ كُلَّ بَنَانٍ
Al-Anfal 8:12 (The Spoils of War)
Mola wako Mlezi alipo wafunulia Malaika: Hakika Mimi ni pamoja nanyi, basi watieni nguvu walio amini. Nitatia woga katika nyoyo za walio kufuru. Basi wapigeni juu ya shingo na wapigeni kwenye kila ncha za vidole.

Tafsiri ya maana yake kwenye lugha ya Kiswahili​

Enyi Waumini! Kumbukeni pale Mwenyezi Mungu alipo wafunulia wale wenye Roho zilio tahirika, yaani Malaika, watie ndani ya nyoyo zenu kuwa Mimi ni pamoja nanyi, nakuungeni mkono, na ninakusaidieni, kwa kuwaambia: Zitieni nguvu nyoyo za walio amini, waitii Haki na wapigane katika Njia ya Mwenyezi Mungu. Na Mimi nitaifanya khofu izitawale nyoyo za washirikina, nao watakuogopeni. Nanyi enyi Waumini! Wapigeni vichwani mwao vilio juu ya shingo zao, na kateni vidole vyao vinavyo kamata panga.
 
وَقَالَتِ الْيَهُودُ عُزَيْرٌ ابْنُ اللَّهِ وَقَالَتِ النَّصَارَى الْمَسِيحُ ابْنُ اللَّهِ ۖ ذَٰلِكَ قَوْلُهُمْ بِأَفْوَاهِهِمْ ۖ يُضَاهِئُونَ قَوْلَ الَّذِينَ كَفَرُوا مِنْ قَبْلُ ۚ قَاتَلَهُمُ اللَّهُ ۚ أَنَّىٰ يُؤْفَكُونَ
AT-Taubah 9:30 (The Repentance)
Na Mayahudi wanasema: Uzeir ni mwana wa Mungu. Na Wakristo wanasema: Masihi ni mwana wa Mungu. Hiyo ndiyo kauli yao kwa vinywa vyao. Wanayaiga maneno ya walio kufuru kabla yao. Mwenyezi Mungu awaangamize! Wanageuzwa namna gani hawa!
View attachment 2813790
View attachment 2813791
إِذْ يُوحِي رَبُّكَ إِلَى الْمَلَائِكَةِ أَنِّي مَعَكُمْ فَثَبِّتُوا الَّذِينَ آمَنُوا ۚ سَأُلْقِي فِي قُلُوبِ الَّذِينَ كَفَرُوا الرُّعْبَ فَاضْرِبُوا فَوْقَ الْأَعْنَاقِ وَاضْرِبُوا مِنْهُمْ كُلَّ بَنَانٍ
Al-Anfal 8:12 (The Spoils of War)
Mola wako Mlezi alipo wafunulia Malaika: Hakika Mimi ni pamoja nanyi, basi watieni nguvu walio amini. Nitatia woga katika nyoyo za walio kufuru. Basi wapigeni juu ya shingo na wapigeni kwenye kila ncha za vidole.

Tafsiri ya maana yake kwenye lugha ya Kiswahili​

Mola wako Mlezi alipo wafunulia Malaika: Hakika Mimi ni pamoja nanyi, basi watieni nguvu walio amini. Nitatia woga katika nyoyo za walio kufuru. Basi wapigeni juu ya shingo na wapigeni kwenye kila ncha za vidole.

Enyi Waumini! Kumbukeni pale Mwenyezi Mungu alipo wafunulia wale wenye Roho zilio tahirika, yaani Malaika, watie ndani ya nyoyo zenu kuwa Mimi ni pamoja nanyi, nakuungeni mkono, na ninakusaidieni, kwa kuwaambia: Zitieni nguvu nyoyo za walio amini, waitii Haki na wapigane katika Njia ya Mwenyezi Mungu. Na Mimi nitaifanya khofu izitawale nyoyo za washirikina, nao watakuogopeni. Nanyi enyi Waumini! Wapigeni vichwani mwao vilio juu ya shingo zao, na kateni vidole vyao vinavyo kamata panga.
MKUU HAYA NI MAPOKEO YA KIARABU NA YA MUNGU WA WAARABU NA WAISLAMU AITWAE ALLAH AMBAE NI SHETANI NA SIO MUNGU KWETU WAKRSTO.
SISI WAKRSTO NA WAYAHUDI TUNA MUNGU WETU WA KIYAHUDI YEHOVA NA TUNA MAAGIZO YETU.
NA HATUTUMII LUGHA YA KIARABU BALI KIEBRANIA
 
Asiogope, unapomuona ndugu yako ameteleza sehemu usisite kumpa nasaha

so, Napinga sana ubaguzi wa aina yoyote ile, na sio kwamba hakuna muislamu ambae anamchukia mwarabu, wapo tu, hata humu jamiiforum huenda wapo baadhi, sasa mtu huyu anajiita salum au abdallah na moyo wake umejaa chuki dhidi ya mwenzie unategemea nini!! Huyo hana uislamu wowote, ni muislamu jina tu.
Hivi kuna haja ya kupost na kujifunua uelewa wako kiasi hiki?
 
Kwa sisi watanzania tunawachukia waarabu kwa sababu ya historia tuliyofundishwa mashuleni,ile biashara ya utumwa ile,haswa kile kipengele kinachosema babu zetu walitobolewa juu ya unyayo na kupitishwa minyororo huku wakiwa wameongozana mstari,historia hiyo chungu kwa mtanzania huwezi kuifuta kwa kutajataja dini hapa,dini siyo justification ya kufunika maovu yaliyokwisha tendewa babu zetu wakiafrika.
hiyo historia sio kweli na ndio maana waliondoa mashuleni ilikuwa ni sumu dhidi uislamu na waarabu wakaka ndio wahanga wa hilo janga maana uislamu ulitokea uarabuni ila hawakufanikiwa wakaamua kuondoa elimu hiyo kilichobakia ni sumu iliyowaingia na haina ukweli wowote mataifa yaliyodaiwa fidia ya utumwa ni ya kizungu ni taifa lipi la kiarabu lilidaiwa fidia ya utumwa kama ni kweli
 
Afu ukimaliza kudanganya kuwa jamii ya kiarabu imestaarabika 𝐮𝐧𝐚𝐤𝐢𝐦𝐛𝐢𝐥𝐢𝐚 𝐮𝐥𝐚𝐲𝐚!! Jaribu kuwa mkweli, achana na mahaba niue

Ukiishi afrika au uarabuni hutamani kwenda ulaya
hiyo historia sio kweli na ndio maana waliondoa mashuleni ilikuwa ni sumu dhidi uislamu na waarabu wakaka ndio wahanga wa hilo janga maana uislamu ulitokea uarabuni ila hawakufanikiwa wakaamua kuondoa elimu hiyo kilichobakia ni sumu iliyowaingia na haina ukweli wowote mataifa yaliyodaiwa fidia ya utumwa ni ya kizungu ni taifa lipi la kiarabu lilidaiwa fidia ya utumwa kama ni kweli
Hatarudi huyo, wamejazwa sumu, na wanaendelea kuwajaza sumu na wengine vizazi na vizazi
 
Sawaa, ukiwachukia utawapunguzia nini! Mimi naipenda timu ya morocco na ni shabiki wa timu hiyo, siku wamekutana na Portugal nilikua upande wao, siku wanacheza na ufaransa adui wakubwa wa uislamu pia niliishabikia MOROCCO, so hata kama waliongea au hawakuongea haiondoi mimi kutoshabikia THE ATLAS, timu bora Afrika
Chuki yangu haiwapunguzii kitu yes na wewe hayo malalamiko yko unafikir yanatupunguzia nn!? Hao Morocco unasema team bora Africa na wakati wao hawataki kuwa waAfrica hebu tafuten bara lenu mtoke Africa kbs na ajabu wanaomba waende ulaya na kule wamekataliwa , mm nasimama na nchi yyte inayopinga uislam kwa nguvu .
 
Ukiishi afrika au uarabuni hutamani kwenda ulaya

Hatarudi huyo, wamejazwa sumu, na wanaendelea kuwajaza sumu na wengine vizazi na vizazi
Huu ndio uislamu halisi
 
Attachments

  • winningsouls4jesus12-20231115-0001.mp4
    9.2 MB
mm nasimama na nchi yyte inayopinga uislam kwa nguvu .

وَلَنْ تَرْضَىٰ عَنْكَ الْيَهُودُ وَلَا النَّصَارَىٰ حَتَّىٰ تَتَّبِعَ مِلَّتَهُمْ ۗ قُلْ إِنَّ هُدَى اللَّهِ هُوَ الْهُدَىٰ ۗ وَلَئِنِ اتَّبَعْتَ أَهْوَاءَهُمْ بَعْدَ الَّذِي جَاءَكَ مِنَ الْعِلْمِ ۙ مَا لَكَ مِنَ اللَّهِ مِنْ وَلِيٍّ وَلَا نَصِيرٍ
Al-Baqarah 120
Mayahudi hawawi radhi nawe, wala Wakristo, mpaka ufuate mila yao. Sema: Hakika uwongofu wa Mwenyezi Mungu ndio uwongofu. Na kama ukifuata matamanio yao baada ya ujuzi ulio kwisha kujia, hutapata mlinzi wala msaidizi kwa Mwenyezi Mungu.

وَإِذَا قِيلَ لَهُمُ اتَّبِعُوا مَا أَنْزَلَ اللَّهُ قَالُوا بَلْ نَتَّبِعُ مَا أَلْفَيْنَا عَلَيْهِ آبَاءَنَا ۗ أَوَلَوْ كَانَ آبَاؤُهُمْ لَا يَعْقِلُونَ شَيْئًا وَلَا يَهْتَدُونَ
Al-Baqarah 170
Na wanapo ambiwa: Fuateni aliyo yateremsha Mwenyezi Mungu; wao husema: Bali tutafuata tuliyo wakuta nayo baba zetu. Je, hata ikiwa baba zao walikuwa hawaelewi kitu, wala hawakuongoka?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom