Nini kitatokea ISS ikipata hitilafu angani ?

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 5, 2015
19,831
45,546
1 Kwa 1 kwenye swali watalaam international space station ikizimika ghafla baada ya damage yoyote yaani paa ika shut down nini kitatokea je ni kweli Mawasiliano ya internet na simu duniani yatakata au haina uhusiano wowote.
 
Kati ya sisi na

ISS imetukuta, sisi hatukuikuta kwahiyo tutaendelea kuwepo na mawasiliano tutayafanya kama tulivyoweza kabla ya ISS.
 
OK.. Hv mkuu hizi satellite huwa sometimes wanazishusha chini kuzifanyia maintenance au ndo hazishuki KAMWE
 
Iss haihusiani chochote na mawasiliano ama internet ya duniani. Ile ni laboratory. Iko powered na solar energy hivyo haitarajiwi kuzimika kabisa.
Asante sana mkuu nadhani umemaliza kiu yangu Sina hoja nyingine Tena kumbe ile ni kama tu inachukua data za angani basi
 
Naam, pia kufanya experiment mbali mbali kwenye mazingira ambayo hakuna kitu kinaitwa uzito na exploration of unknown. Hawadili na chochote Cha duniani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom