Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 926
- 4,343
Wachina, Wakongo, wake ya, wanigeria na wazambia wamekuwa wengi sana soko la Kariakoo.
Wachina wanapoingia kwenye umachinga maana yake uchuuzi umekuwa kipaombele cha soko Tanzania. Lakini uchuuzi huu unawaondoa watanzania sokoni kwa sababu wachina wanakopeshwa bidhaa kutoka viwandani huku Watanzania wakilazimika kununua cash
Lakini pia watu hawa wanakwepa sana kulipa tozo na kodi stahili kwa sababu wanachukua stores wanazifunga then wanafungua kifrem kidogo cha kudisplay mzigo.
Wengi wao wakishukiwa wanakimbia na kujificha na hakuna wakuwachukulia hatua. Nimeona kuna extension ya kile kinachofanyika Kariakoo kimepelekwa ubungo.
Je, tunakuza uchumi au tunadidimia? Kwanini hawa wageni wasiende kwenye uwekezaji?