Nini kifanyike kuinusuru hii Simba?

Mrisho com

JF-Expert Member
May 2, 2015
3,926
3,968
Leo wana lunyasi tujadiliane namna ya kunusuru timu yetu baada ya kuona sasa tunapokwenda sio kabisa,kulingana na mustakabali wa team yetu.

Simba ni team ambayo ilijizolea umaarufu mkubwa sana hapa barani Afrika na ulimwenguni pia,club ya simba ilishaanza kuwa tishio midomoni, masikioni mwa mataifa mengi balani Afrika na imefikia hatua hata club itakayopangiwa na simba basi walikuwa na kimuhemuhe.

Simba hii ilishaanza kujijengea heshima mpaka CAF huko na kupewa offer mbali mbali kuanzia AFL na mengine,hapo hatujagusia masuala ya dili za hapa na pale.

Naamini kama tutapeana elimu na nini chakufanya basi kaunzia sisi mashabiki tunaweza kuiweka Simba mahali salama kabisa,tuache ule msemo wa kijinga kwamba"SIMBA NA YANGA" haiwezi kuwa za moto zote kwa pamoja hivyo lazima kuna kipindi mmoja atashuka"huu ni msemo kwa watu wasio na maono".

Tuanze kwa mashabiki nini tufanye,tuje kwa wanachama wenye kadi nini waanye,tumalizie na viongozi kipi wafanye.

Ni vyema hata wa upande wa pili ukatoa hoja za busara kuliko kushambuliana,tunapotaka kutatua tatizo kama hili lina milolongo yake hivyo lazima tufate procedure zoote za kufanikisha jambo hili.

NINI KIFANYIKE KUINUSURU SIMBA HII
 
Simba kwa namna inavyocheza sasa kwa hakika si tu inakatisha tamaa bali inawafanya hata mashabiki wapoteze interest na timu yao pindi panakuwepo gemu la simba na timu pinzani. Unaweza liona hili hata mtaani tu kwenye vibanda umiza anapocheza Yanga vibanda vinajaa kweli (mashabiki wa Yanga na wa Simba pia wanakuwepo), Yanga wanacheza mpira mzuri sana. Inapokuja Simba mashabiki wachache na unaweza kuta waliokuja kutizama wengi ni timu ya upande wa pili na wamekuja kuona namna Mnyama atakavyochakazwa.
 
Leo wana lunyasi tujadiliane namna ya kunusuru timu yetu baada ya kuona sasa tunapokwenda sio kabisa,kulingana na mustakabali wa team yetu.

Simba ni team ambayo ilijizolea umaarufu mkubwa sana hapa barani Afrika na ulimwenguni pia,club ya simba ilishaanza kuwa tishio midomoni,masikioni mwa mataifa mengi balani Afrika na imefikia hatua hata club itakayopangiwa na simba basi walikuwa na kimuhemuhe.

Simba hii ilishaanza kujijengea heshima mpaka CAF huko na kupewa offer mbali mbali kuanzia AFL na mengine,hapo hatujagusia masuala ya dili za hapa na pale.

Naamini kama tutapeana elimu na nini chakufanya basi kaunzia sisi mashabiki tunaweza kuiweka Simba mahali salama kabisa,tuache ule msemo wa kijinga kwamba"SIMBA NA YANGA" haiwezi kuwa za moto zote kwa pamoja hivyo lazima kuna kipindi mmoja atashuka"huu ni msemo kwa watu wasio na maono".

Tuanze kwa mashabiki nini tufanye,tuje kwa wanachama wenye kadi nini waanye,tumalizie na viongozi kipi wafanye.

Ni vyemq hata wa upande wa pili ukatoa hoja za busara kuliko kushambuliana,tunapotaka kutatua tatizo kama hili lina milolongo yake hivyo lazima tufate procedure zoote za kufanikisha jambo hili.

NINI KIFANYIKE KUINUSURU SIMBA HII
Hii timu inazidi kunikondesha.....
Chakufanya ni kwenda kuwatia bakora akina Mo, mangungu,try again,CEO!!!!
Baada ya bakora tuwarudishe friends of Simba + Babra!!!!
 
Napendekeza
1.Kocha afukuzwe,
2.Wachezaji wote wafukuzwe tuanze upya,
3.Viongozi wote wafukuzwe,
4.Mashabiki wote tufukuzwe tuanze upya maana wengi akili hamna,
5.Mfukuzaji wa hao wote hapo juu nae afukuzwe🤣🤣🤣
 
Zingatieni mambo yenu, Achaneni na Yanga kabisaa. Mnaweza sana kubeza mafanikio ya Yanga kuliko kuandaa timu yenu. Simba si mbovu kiasi mnachoizungumza
 
Leo wana lunyasi tujadiliane namna ya kunusuru timu yetu baada ya kuona sasa tunapokwenda sio kabisa,kulingana na mustakabali wa team yetu.

Simba ni team ambayo ilijizolea umaarufu mkubwa sana hapa barani Afrika na ulimwenguni pia,club ya simba ilishaanza kuwa tishio midomoni, masikioni mwa mataifa mengi balani Afrika na imefikia hatua hata club itakayopangiwa na simba basi walikuwa na kimuhemuhe.

Simba hii ilishaanza kujijengea heshima mpaka CAF huko na kupewa offer mbali mbali kuanzia AFL na mengine,hapo hatujagusia masuala ya dili za hapa na pale.

Naamini kama tutapeana elimu na nini chakufanya basi kaunzia sisi mashabiki tunaweza kuiweka Simba mahali salama kabisa,tuache ule msemo wa kijinga kwamba"SIMBA NA YANGA" haiwezi kuwa za moto zote kwa pamoja hivyo lazima kuna kipindi mmoja atashuka"huu ni msemo kwa watu wasio na maono".

Tuanze kwa mashabiki nini tufanye,tuje kwa wanachama wenye kadi nini waanye,tumalizie na viongozi kipi wafanye.

Ni vyema hata wa upande wa pili ukatoa hoja za busara kuliko kushambuliana,tunapotaka kutatua tatizo kama hili lina milolongo yake hivyo lazima tufate procedure zoote za kufanikisha jambo hili.

NINI KIFANYIKE KUINUSURU SIMBA HII
NINI KIFANYIKE KUINUSURU SIMBA HII?
Waendelee na stori za clip za MAYELE kurushiwa majini, huenda itapata nusura.
 
Back
Top Bottom