SoC03 Nini kifanyike ili kukabiliana taharuki ya mkataba wa bandari wa DPW nchini Tanzania

Stories of Change - 2023 Competition

jayboy

Member
May 26, 2023
19
15
DPWORLD ni kampuni kubwa ya biashara yenye makao makuu yake Dubai ambayo inajishughulisha na uwekezaji katika maeneo ya bandarini. Tanzania ni miongoni mwa nchi zilizopata bahati ya kuingia mkataba na Kampuni ya DPWORLD,hatua hii ya makubaliano Kati ya Tanzania na DPWORLD ili lenga kuboresha huduma za usafirishaji kutoka nchi moja hadi nyingine.

Matokeo ya mkataba huu ni kuongeza ajira kwa vijana wa kitanzania kutoka maeneo tofauti tofauti yenye bandari Kama vile Lindi,Mtwara,Dar-es-salaam na Tanga.

Mara baada ya kusainiwa kwa mkataba wa DPWORLD kumezuka hali ya sitofahamu kwa viongozi wa upande zote mbili kutoka Vyama utawala na vyama vya upinzani, viongozi kutoka Vyama utawala wanaonekana kuridhishwa na utiaji SAINI uliyofanywa na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania lakini viongozi wa vyama vya upinzani wameonekana wakikosea makubaliano ya mkataba yaliyowekwa Kati ya upande mbili Kupitia kubainisha changamoto mbalimbali zilizojitokeza katika mkataba hu Kupitia vifungu vya masharti na makubaliano yaliyowekwa Kati yao.

Baadhi ya vifungu vya mkatabatanoioneshi muda wa kikomo Kama mikataba mengine iliyowahi kusainiwa na Jamhuri ya Muungano ya Tanzania ambayo ulikuwa inaonesha ukomo wa miaka na muda Kama vile miaka mitano,kumi au kumi na tano.Hali hii imewasukuma viongozi kutoka kambi ya upinzani kuna jui ili kutaka kufahamu kutoka kwa serikali juu ya uwamuzi wa kusaini mkataba wa namna Kama hii.

Pia masharti ya uendeshaji wa bandari,baadhi ya vifungu vya mkataba vinamzuia na kumnyima uhuru serikali yq Tanzania katika kusimamia rasilimali zake katika upande wa bandari,Kwa mfano ibara ya 4(2),5 na 7,inasema serikali italazimika kuwaarifu iwapo Kama sehemu yoyote inayohusiana na biashara,bandari na Maeneo ya wazi na usafirishaji ili waone Kama watawekeza,katika kipindi cha mkataba serikali ya Tanzania inapaswa kuwatarifu kila kitu kinachofanyika.Katika hali halisi swali la kujiuliza unaweza kuoa mwanamke lakini ukawa hauna uhuru naye,pindi utakapo hitaji kitu cha misingi kutoka kwake basi inabidi uombe ruksa kutoka kwa wazazi wake ,hivyo hivyo katika masharti yaliyowekwa katika mkataba.

Vilevile mkataba huru unaonekana hauoneshi maeneo elekezi yatakayotumika katika uwekezaji unaotakiwa kufanyika kutoka katika bandari zilizopo nchini Kama vile bandari za maziwa makuu zinazopatikana Kigoma,Mwanza na Rukwa vile vile bandari zote za Lindi,Mtwara,Dar-es-salaam na Tanga lakini kutohusishwa kabisa bandari za Zanzibari katika uwekezaji, mfano ibara ya 8DPWORLD wanalazimisha serikali kutoka haki ya kumiliki ardhi,hali hii inaweza kusababisha migogoro ya ardhi Kati ya maeneo ya kawaida ya wananchi na mwekezaji pindi atakaposhindwa kulipa fidia na stahiki za wamiliki wa ardhi, hali ambayo huatarisha usalama wa nchi pindi wananchi wataka andamana ili kudai stahiki zao.

Hats hivyo masilahi ya mkataba huru bado hayajawekwa wazi Kati ya pande zote mbili,lakini mkataba wa DPWORLD inaonesha kuwanufaisha wenyewe na siyo Tanzania, mfano ibara ya 11 inahusu masuala ya kikodi ambapo tayari Waziri wa fedha alisaini mkataba wa kikosi nchini Dubai mwaka 2022 ili kuondoa "Double Taxation" kwa makampuni na raia wa Dubai nchini, wakati wananchi wa Tanzania wanalipa kodi zaidi ya marambili, lakini ibara ya 18 inahusu misamaha ya kodi yaani japokuwa DPWORLD itakuwa inaingiza pesa nyingi kiasi gani, bado serikali yetu imekubali kutoka msamaha wa kodi kwa kampuni hii.

Lakini pia ushirikishwaji wa maamuzi ya pamoja Kati ya serikali na wananchi wake katika kufikia makubaliano ya pamoja, katika ibara ya 10 ya mkataba huru inaonesha kuwa kutakuwa na mkataba wa siri Kati ya DPWORLD, TPA na makampuni mengine ambayo hayajaoridheshwa katika mkataba huru, hali hizi imezua taharuki kubwa kwa wananchi juu ya mtazamo wa kuuzwa kwa bandari ya Dar es Salaam lakini taarifa hizi si za kweli kwa sababu DP WORLD imekuwa ikifanyakazi katika nchi mbalimbali za Amerika ya kusini, Australia na Afrika kusini,hivyo basi wananchi, viongozi wa kisiasa na vyombo vya habari hawana budi kupotosha umma juu ya suala zima la bandari.

Kutokana na hali ya taharuni kwa wananchi dhidi ya madai ya kuuzwa kwa bandari ya Dar-es-salaam na kisha kukabidhiwa kwa muda wa miaka 100 kwa kampuni ya DPW,serikali haina budi kuchukua hatua za kusudi juu ya suala hili Kama ifuatavyo;

Kupitia upya vifungu vya masharti ya mkataba ili kujiridhisha tena Kama vinakidhi mahitaji ya pande zote mbili, lakini Kama utaonekana kuegemea upande mmoja basi hauna budi kufanyiwa marekebisho madogo ili kwenda saw a pande zote mbili.

Baadhi ya maeneo muhimu yanapaswa kufanyiwa marekebisho ni katika upande wa maslahi Kati ya DPWORLD na Tanzania, lakini pia mkataba inatakiwa kuonesha maeneo elekezi ya uwekezaji na uwendeshaji wa shughuli mbalimbali za bandari hususani maeneo ya maziwa makuu na habari.

Kwa kumalizia serikali inatakiwa kutunga na kuweka sheria madhubuti kwa wawekezaji nchini ili kukuza sekta ya biashara, vilevile kujenga uelewa kwa wananchi ili kufahamu masuala ya uwekezaji ili kuweka taswira nzuri kwa wawekezaji wa kigeni nchini.
 
Kwa kumalizia serikali inatakiwa kutunga na kuweka sheria madhubuti kwa wawekezaji nchini ili kukuza sekta ya biashara
Je nini kifanyike, Iwapo sheria na taratibu zilizopo kwa sasa hazifuatwi ipasavyo?
 
Kupitia upya mkataba ya uwekezaji inayotungwa na kuwekeana baina ya serikali ya Tanzania kwa pamoja ili kuweka mazingira mazuri kwa uwekezaji ili kuwavutia wawekezaji wengi kufanya uwekezaji katika sekta mbalimbali za kiuçhumi hatua hii itasaidia sana kukuza pato la mtu mmoja mmoja lakini kwa taifa kupitia uwekezaji mkubwa utakao fanywa na wageni nchini.Mazingira yatakayoweza kusaidia changamoto za uwekezaji nchini kama vile mikataba yenye kuzingatia vigezo na masharti ambayo yatakwenda kukubaliwa na kuafikiwa na pande zote mbili,vile vile masuala muhimu kama vile vibali vya uwekezaji,maeneo maalumu ya uwekezaji,masilahi na mambo mengine ya msingi.
 
Je umeelewa swali?
 
DPWORLD ni kampuni kubwa ya biashara yenye makao makuu yake Dubai ambayo inajishughulisha na uwekezaji katika maeneo ya bandarini. Tanzania ni miongoni mwa nchi zilizopata bahati ya kuingia mkataba na Kampuni ya DPWORLD,hatua hii ya makubaliano Kati ya Tanzania na DPWORLD ili lenga kuboresha huduma za usafirishaji kutoka nchi moja hadi nyingine.

Matokeo ya mkataba huu ni kuongeza ajira kwa vijana wa kitanzania kutoka maeneo tofauti tofauti yenye bandari Kama vile Lindi,Mtwara,Dar-es-salaam na Tanga.

Mara baada ya kusainiwa kwa mkataba wa DPWORLD kumezuka hali ya sitofahamu kwa viongozi wa upande zote mbili kutoka Vyama utawala na vyama vya upinzani, viongozi kutoka Vyama utawala wanaonekana kuridhishwa na utiaji SAINI uliyofanywa na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania lakini viongozi wa vyama vya upinzani wameonekana wakikosea makubaliano ya mkataba yaliyowekwa Kati ya upande mbili Kupitia kubainisha changamoto mbalimbali zilizojitokeza katika mkataba hu Kupitia vifungu vya masharti na makubaliano yaliyowekwa Kati yao.

Baadhi ya vifungu vya mkatabatanoioneshi muda wa kikomo Kama mikataba mengine iliyowahi kusainiwa na Jamhuri ya Muungano ya Tanzania ambayo ulikuwa inaonesha ukomo wa miaka na muda Kama vile miaka mitano,kumi au kumi na tano.Hali hii imewasukuma viongozi kutoka kambi ya upinzani kuna jui ili kutaka kufahamu kutoka kwa serikali juu ya uwamuzi wa kusaini mkataba wa namna Kama hii.

Pia masharti ya uendeshaji wa bandari,baadhi ya vifungu vya mkataba vinamzuia na kumnyima uhuru serikali yq Tanzania katika kusimamia rasilimali zake katika upande wa bandari,Kwa mfano ibara ya 4(2),5 na 7,inasema serikali italazimika kuwaarifu iwapo Kama sehemu yoyote inayohusiana na biashara,bandari na Maeneo ya wazi na usafirishaji ili waone Kama watawekeza,katika kipindi cha mkataba serikali ya Tanzania inapaswa kuwatarifu kila kitu kinachofanyika.Katika hali halisi swali la kujiuliza unaweza kuoa mwanamke lakini ukawa hauna uhuru naye,pindi utakapo hitaji kitu cha misingi kutoka kwake basi inabidi uombe ruksa kutoka kwa wazazi wake ,hivyo hivyo katika masharti yaliyowekwa katika mkataba.

Vilevile mkataba huru unaonekana hauoneshi maeneo elekezi yatakayotumika katika uwekezaji unaotakiwa kufanyika kutoka katika bandari zilizopo nchini Kama vile bandari za maziwa makuu zinazopatikana Kigoma,Mwanza na Rukwa vile vile bandari zote za Lindi,Mtwara,Dar-es-salaam na Tanga lakini kutohusishwa kabisa bandari za Zanzibari katika uwekezaji, mfano ibara ya 8DPWORLD wanalazimisha serikali kutoka haki ya kumiliki ardhi,hali hii inaweza kusababisha migogoro ya ardhi Kati ya maeneo ya kawaida ya wananchi na mwekezaji pindi atakaposhindwa kulipa fidia na stahiki za wamiliki wa ardhi, hali ambayo huatarisha usalama wa nchi pindi wananchi wataka andamana ili kudai stahiki zao.

Hats hivyo masilahi ya mkataba huru bado hayajawekwa wazi Kati ya pande zote mbili,lakini mkataba wa DPWORLD inaonesha kuwanufaisha wenyewe na siyo Tanzania, mfano ibara ya 11 inahusu masuala ya kikodi ambapo tayari Waziri wa fedha alisaini mkataba wa kikosi nchini Dubai mwaka 2022 ili kuondoa "Double Taxation" kwa makampuni na raia wa Dubai nchini, wakati wananchi wa Tanzania wanalipa kodi zaidi ya marambili, lakini ibara ya 18 inahusu misamaha ya kodi yaani japokuwa DPWORLD itakuwa inaingiza pesa nyingi kiasi gani, bado serikali yetu imekubali kutoka msamaha wa kodi kwa kampuni hii.

Lakini pia ushirikishwaji wa maamuzi ya pamoja Kati ya serikali na wananchi wake katika kufikia makubaliano ya pamoja, katika ibara ya 10 ya mkataba huru inaonesha kuwa kutakuwa na mkataba wa siri Kati ya DPWORLD, TPA na makampuni mengine ambayo hayajaoridheshwa katika mkataba huru, hali hizi imezua taharuki kubwa kwa wananchi juu ya mtazamo wa kuuzwa kwa bandari ya Dar es Salaam lakini taarifa hizi si za kweli kwa sababu DP WORLD imekuwa ikifanyakazi katika nchi mbalimbali za Amerika ya kusini, Australia na Afrika kusini,hivyo basi wananchi, viongozi wa kisiasa na vyombo vya habari hawana budi kupotosha umma juu ya suala zima la bandari.

Kutokana na hali ya taharuni kwa wananchi dhidi ya madai ya kuuzwa kwa bandari ya Dar-es-salaam na kisha kukabidhiwa kwa muda wa miaka 100 kwa kampuni ya DPW,serikali haina budi kuchukua hatua za kusudi juu ya suala hili Kama ifuatavyo;

Kupitia upya vifungu vya masharti ya mkataba ili kujiridhisha tena Kama vinakidhi mahitaji ya pande zote mbili, lakini Kama utaonekana kuegemea upande mmoja basi hauna budi kufanyiwa marekebisho madogo ili kwenda saw a pande zote mbili.

Baadhi ya maeneo muhimu yanapaswa kufanyiwa marekebisho ni katika upande wa maslahi Kati ya DPWORLD na Tanzania, lakini pia mkataba inatakiwa kuonesha maeneo elekezi ya uwekezaji na uwendeshaji wa shughuli mbalimbali za bandari hususani maeneo ya maziwa makuu na habari.

Kwa kumalizia serikali inatakiwa kutunga na kuweka sheria madhubuti kwa wawekezaji nchini ili kukuza sekta ya biashara, vilevile kujenga uelewa kwa wananchi ili kufahamu masuala ya uwekezaji ili kuweka taswira nzuri kwa wawekezaji wa kigeni nchini.
IMG_20230801_201956.jpg
Screenshot_2023-08-01-20-16-52-31_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12.jpg
 
Back
Top Bottom