Nini hukufanya ununue Dawa na kujitibu mwenyewe pasipo kwenda Hospitali kwanza kufanya Vipimo?

JamiiTalks

JF Advocacy Team
Aug 7, 2018
628
953
Kujitibu mwenyewe (Self Treatment) kunaweza kuwa na hatari nyingi. Mtu kujifanyia tathmini ya Kiafya (Self Diagnosis) bila mafunzo ya Kitaalamu inaweza kusababisha kutambua vibaya hali inayomsumbua

Hii inaweza kusababisha Matumizi mabaya ya Dawa au tiba ambazo zinaweza kusababisha madhara zaidi au kuzorotesha Afya.



Self-medication is the practice of an individual using available medications or substances to treat self-diagnosed symptoms or conditions. In general, the practice of self-medication applies to any ailment or condition that a person may treat without the help of a healthcare professional. This includes minor injuries or illnesses such as the common cold

Dangers and risks arise with self-medication when people turn to self-medication when trying to treat more serious health conditions, such as mental health conditions, that require appropriate intervention from a medical professional. Rather than consulting a doctor to receive a proper diagnosis and medical treatment, many people use supplements and other substances, sometimes drugs and alcohol, to try to cope with the symptoms they are experiencing. This practice can result in improper treatment of symptoms and conditions as well as potentially cause new conditions, such as substance use disorders or addiction.

The Self-Medication Hypothesis
The self-medication hypothesis was first presented in the 1980s as a reason behind how and why individuals are drawn to and become dependent on heroin and cocaine. The main concept behind the theory is that individuals discover the specific actions or effects of certain substances and then use specific substances to relieve or change the symptoms or emotions they are experiencing. For example, someone living with anxiety would specifically use alcohol for its calming and sedating effects. The self-medication hypothesis seems intuitive but it has received mixed reviews from the medical community and it has been both accepted and dismissed.

Regardless of the theories behind why someone with a mental health condition could be drawn to substances, the linkage between mental health conditions and substance use disorders is undeniable and has been of concern for many years. “Co-occurring disorder” is the term used when a person is diagnosed with both a mental health condition and substance use disorder. According to the 2017 National Survey on Drug Use and Health, of the 18.7 million adults aged 18 and older with substance use disorder, 8.5 million had co-occurring substance use disorder and acute mental illness, and 3.1 million had co-occurring substance use disorder and serious mental illness.

Why Self-Medicate?
Self-medication of mental health conditions with substances is generally accepted as having very limited benefit in treating the condition and may potentially worsen the symptoms. However, to the person who is self-medicating, the typical rationale may not apply. There is a vast array of reasons why someone may decide to self-medicate with substances in order to cope with their symptoms of mental health conditions. Although the exact reason is very specific to an individual’s situation, there are some commonly understood reasons including.

The cost of medical treatment, including doctor visits and medications
Fear of seeking treatment due to perceived negative stigmas
Hiding or denying a condition
Inefficient medications used for treatments in the past
Fear of side effects from medications
The reasoning behind why someone may choose to self-medicate may not make sense to others. However, it is important not to dismiss their thinking. When helping someone who is self-medicating as a way to cope with mental illness, compassionate intervention is key to guiding them toward appropriate mental health treatment.
 
Nilijaribu mara ya kwanza nikapona, kila mara nionapo dalili za namna hiyo huwa nabugia dawa na ninapona vile vile.
 
• Upo sahihi kabisa, ila kutokana na hali ya uchumi wa kila mwananchi, Ndo maana hufikia hatua hiyo ya kwenda famasi moja kwa moja.

• Hakuna binadam asiye penda kujua afya yake kupitia vipimo.... TATIZONIUCHUMI
 
Sababu Na Nzito Sana Tanzania Ni Huduma Za Afya Kujaa Ukiritimba Mfano Sasa Hivi NHIF

Wamekuja Na Kifurushi Kilicholeta Utata Na Mvutano Mkubwa Kati Ya Wizara(Serikali) Na Sekta Binafsi.

Mifano Ipo Mingi Na Ushahidi Wa Members Wa JF Waliopata Huduma

Wanasema KIFURUSHI Kinakupa Drip Bila Mpira Wa Kupitishia Maji

Unapewa Dawa Ya Kutibu Kidogo Bila Gozi Ya Kukisafisha
 
Sababu Na Nzito Sana Tanzania Ni Huduma Za Afya Kujaa Ukiritimba Mfano Sasa Hivi NHIF
Wamekuja Na Kifurushi Kilicholeta Utata Na Mvutano Mkubwa Kati Ya Wizara(Serikali) Na Sekta Binafsi
Acha kuwachafua NHIF, Umeenda hospitari ukakosa matibabu?

Sikutegemea kukutana na comment za fb huku Jf
 
Niliacha kwenda hospitali kupima malaria nilipoona majibu ya vipimo vyao wakati mwingine hayaendani na hali yangu kiafya.

Naweza kuwa ninajiskia nina dalili zote za malaria, viungo kuuma, kichwa kuuma, homa, kukosa hamu ya kula... lakini nikienda kupima naambiwa sina malaria.

Hapo nilichoamua nikaona kwanza mzungu nae sio Mungu, kuanzia wakati huo nikijihisi nina dalili za malaria nachukua dozi ya mseto, nameza yote, maisha yanaendelea kama kawaida.
 
Hospitali zinatuumiza sana mi kuna hospital moja nilienda kupata huduma ilipo fika kwenye dirisha la dawa nikamba risit zile dawa kwenda kuulizia pharmacy dawa ya maji wamenuuzia 8000 duka LA dawa 3000 vidonge 9000 dukani 4500 nilipochoka zaid dawa ya maumivu imeuziwa 3000 dukan 500 na ukienda ukiwaambia hununui dawa kwao wanakuchaji pesa ata kama umelipia vipimo na kumwona docta
 
Kujitibu mwenyewe (Self Treatment) kunaweza kuwa na hatari nyingi. Mtu kujifanyia tathmini ya Kiafya (Self Diagnosis) bila mafunzo ya Kitaalamu inaweza kusababisha kutambua vibaya hali inayomsumbua

Hii inaweza kusababisha Matumizi mabaya ya Dawa au tiba ambazo zinaweza kusababisha madhara zaidi au kuzorotesha Afya.
Huko hospitali ukiritimba mwingi, ubabaishaji mwingi, ujuaji mwingi
 
Kujitibu mwenyewe (Self Treatment) kunaweza kuwa na hatari nyingi. Mtu kujifanyia tathmini ya Kiafya (Self Diagnosis) bila mafunzo ya Kitaalamu inaweza kusababisha kutambua vibaya hali inayomsumbua

Hii inaweza kusababisha Matumizi mabaya ya Dawa au tiba ambazo zinaweza kusababisha madhara zaidi au kuzorotesha Afya.
Moja;Tatzo kubwa n uchumi! Mara nying wanaojitibu wenyewe n watu wa hali ya chini! Pili Ni kwamba saiv tiba n biashara kubwa sana kupata vipimo ni garama kubwa au kwa hospital za serikal garama nafuu lakn utakaa foleni hadi uzidiwe hvo kupelekea watu kujiongeza kwa huhisi dalili za ugonjwa na kutafuta dawa.
 
Kujitibu mwenyewe (Self Treatment) kunaweza kuwa na hatari nyingi. Mtu kujifanyia tathmini ya Kiafya (Self Diagnosis) bila mafunzo ya Kitaalamu inaweza kusababisha kutambua vibaya hali inayomsumbua

Hii inaweza kusababisha Matumizi mabaya ya Dawa au tiba ambazo zinaweza kusababisha madhara zaidi au kuzorotesha Afya.
Urasimu usio wa LAZIMA, lugha mbaya/chafu ya baadhi ya Wahudumu wa kwenye Huduma za Afya na sometimes gharama zisizo za LAZIMA Sana kama pale nanihii au basi ...!
 
Wameshatufunza dose toka utotoni dose za magonjwa yote yale ya mara kwa mara mfano uti,malari,mafua,kifua,ziko kichwani ni mwendo wa kubugia dozii...ilimradi dalili unazijua hahahaaa

NB: HII NI HATARI
 
Back
Top Bottom