Ninatengeneza Orodha ya wasanii wa Mziki wa Tanzania

kamandawasua

JF-Expert Member
Jun 6, 2013
326
86
Habari zenu wananchi,

Kama kichwa kinavyosema ninahitaji msaada wenu katika kutengeneza orodha hiyo.
Nitakuwa ninaweka majina yote ambayo mtakuwa mkiiyapost hapa ili kujua kama unayetaka kumpost amewekwa au lah.

Asanteni.

Orodha

  1. AB Skills
  2. Abdu Kiba
  3. Afande Sele
  4. Ali Kiba
  5. Amberlulu
  6. Amorlly
  7. AY
  8. Azma
  9. Baba Levo
  10. Babuu Wa Kitaa
  11. Balozi Dola Soul
  12. Banana Zorro
  13. BDP
  14. BekaFlavor
  15. Ben Pol
  16. Bibi Cheka
  17. Blue Fire
  18. Bonta
  19. Boshoo
  20. Bu Nako
  21. Buibui
  22. Bushoke
  23. Bwana Misosi
  24. Chaba
  25. Chedu 2R
  26. Chegge
  27. Chief Kimweli
  28. Chimbende
  29. Chindo Man
  30. Cmpoo
  31. Complex
  32. Cool James
  33. Country Boy
  34. CPWAA
  35. Cyril
  36. D Knob
  37. Darassa
  38. Dataz
  39. Daz Baba
  40. Diamond Platinums
  41. Ditto
  42. Dizasta Vina
  43. Dogo Aslay
  44. Dogo Janja
  45. Dolo
  46. Dudu Baya
  47. Dullayo
  48. Dully Sykes
  49. Enika
  50. Ester Wasira
  51. Father Nelly
  52. Ferooz
  53. Fid Q
  54. Fred Saganda
  55. Gangwe Mob
  56. Geez Mabovu
  57. Ghetto Ambasodor
  58. Gigy money
  59. G-Nako
  60. H Baba
  61. Hard Madd
  62. Harmo Rapper
  63. Harmonize
  64. Hashim Dogo
  65. Head Still
  66. Ibra Da Hustler
  67. Inspecta Haroun
  68. Izzo Biz
  69. J Mo
  70. Jambo Squad
  71. JCB
  72. Jerry Bwax
  73. Joan
  74. Joh Makini
  75. John Mjema (Marehemu)
  76. John Woka
  77. Jos Mtambo
  78. Juma Nature
  79. Jux
  80. Kala Pina
  81. Kalikawe
  82. Kayumba Juma
  83. Kck Supremacy
  84. Kevoo
  85. Keysher
  86. Khadija Kopa
  87. Kimbunga
  88. Kr Mulla
  89. KR Mullah
  90. Kwanza Unit
  91. La Rhumba
  92. Lady Fire Samberaa
  93. Lady J Dee
  94. Lord Eyez
  95. Lulu Diva
  96. Madee
  97. Makamua
  98. Malle
  99. Manduli Mobb
  100. Mangweir
  101. Mansu Li
  102. Manzese Crew
  103. Marioo
  104. Marlaw
  105. Maua Sama
  106. Maunda Zorro
  107. Mbosso
  108. Mez B
  109. Mh. Temba
  110. Mike Tee
  111. Mkiristo
  112. Mo Racka
  113. Motra The Future
  114. Mr Blue
  115. Mr Ebo
  116. Mr Nice
  117. Mr. Paul
  118. Msaga Sumu
  119. Mwafrika
  120. Mwasiti
  121. Mzimuni Family
  122. Nahreel
  123. Nakaaya
  124. Nako 2 Nako
  125. Nash Mc
  126. Navy Kenzo
  127. Ney Wa Mitego
  128. Nigga C
  129. Nikki Mbishi
  130. Nikki Wa Pili
  131. Nolichiko
  132. Nura
  133. Nyandu Tozi
  134. O Ten
  135. Odinali
  136. P the Mc
  137. Pablo (Daz Nundaz)
  138. Papaa Mafido
  139. Pasha
  140. PNC
  141. Prettykind
  142. Prof J
  143. Q Chillar
  144. Raf Mc
  145. Ras Lion
  146. Ras Omega
  147. Rich Mavoko
  148. Roho 7
  149. Sajo
  150. Salvi Manyika
  151. Scout Jentaz
  152. Shilole
  153. Shoro Mwamba
  154. Simple X
  155. Sister P
  156. Snura
  157. Sogi Dogi
  158. Solo Thang
  159. Somali
  160. Songa
  161. Spac Dawg
  162. Spark
  163. Spyder
  164. Squizer
  165. Stan Rhymes
  166. Stereo
  167. Steve 2k (Marehemu)
  168. Stopper
  169. Stosh
  170. Sugu
  171. Suma Mnazareti
  172. Tmk Wanaume Family
  173. Tmk Wanaume Halisi
  174. TNG Squad
  175. Toxic Fuvu
  176. Tunda Man
  177. TX Moshi Williams
  178. University Corner
  179. Vanessa Mdee
  180. Voice Wonder
  181. Wagosi
  182. Wakali Kwanza
  183. Watengwa
  184. Witness
  185. Yesuu
  186. Young D
  187. Young Killer
  188. Young Omega
  189. Yuzoo Rubana
  190. Z Anto
  191. Zahir Zorro
  192. Zay B
 
Motra The Future, Odinali, Nigga C, Lady Fire Samberaa, Papaa Mafido,
papaa mafido bado anaimba?

Huyu chalii pale Arusha sec..Alikuwa anabeba begi kubwa yale ya kuendesha halafu anaweka kadaftari kamoja.

Then, ataingia darasani watu wote wameshatulia na begi lake kubwa kama anaenda stand.

-niger C
-Yuzoo Rubana
-somali
-chaba
-Cmpoo
-Ras Omega
-Young Omega
-Raf Mc
-Ibra da hustler
- Father nelly
-Kalikawe
-Mkiristo
-Stosh
-Nash MC
-Hashim Dogo
-Suma mnazareti
-Amorlly
-spark
-Spac dawg
-Lord Eyez


- Wa ukoo/Mo plus
-stereo
-simple X
-Complex
-Bu nako
-Geez Mabovu
-Kayumba Juma
-marioo
-
 
papaa mafido bado anaimba?

Huyu chalii pale Arusha sec..Alikuwa anabeba begi kubwa yale ya kuendesha halafu anaweka kadaftari kamoja.

Then, ataingia darasani watu wote wameshatulia na begi lake kubwa kama anaenda stand.

-niger C
-Yuzoo Rubana
-somali
-chaba
-Cmpoo
-Ras Omega
-Young Omega
-Raf Mc
-Ibra da hustler
-
Anaimba ana ngoma yake inaitwa 'My Story' ndio inaelezea maisha yake ya Skuli kuanzia A sec mpaka anatimuliwa skuli anaingia kitaa anakuwa nyamera.. ukiuserch you tube upo ni mkali mbaya..

Niliwasahau wana kama kina.. KCK Supremacy, Spac Dawg
 
papaa mafido bado anaimba?

Huyu chalii pale Arusha sec..Alikuwa anabeba begi kubwa yale ya kuendesha halafu anaweka kadaftari kamoja.

Then, ataingia darasani watu wote wameshatulia na begi lake kubwa kama anaenda stand.

-niger C
-Yuzoo Rubana
-somali
-chaba
-Cmpoo
-Ras Omega
-Young Omega
-Raf Mc
-Ibra da hustler
- Father nelly
-Kalikawe
-Mkiristo
-Stosh
-Nash MC
-Hashim Dogo
-Suma mnazareti
-Amorlly
-spark
-Spac dawg
-Lord Eyez
 
Anaimba ana ngoma yake inaitwa 'My Story' ndio inaelezea maisha yake ya Skuli kuanzia A sec mpaka anatimuliwa skuli anaingia kitaa anakuwa nyamera.. ukiuserch you tube upo ni mkali mbaya..

Niliwasahau wana kama kina.. KCK Supremacy, Spac Dawg
haha... Mafido bhana. Unawajua Wasumbufu majina yao yote?
 
Sema wengi nimewasahau majina... Napenda kufuatilia harakati za Underground artists.
Mwenyewe nilikua mdau wa SUA kila jumapili jioni lazima nienda kilingeni kutizama machalii wenye vipaji. Tokea nimehamishwa chuga na maisha sijuagi kama harakati zinaendelea. Kuna madogo wa matejoo wanaitwa wadudu wa dampo wabaimba hatari
 
Mwenyewe nilikua mdau wa SUA kila jumapili jioni lazima nienda kilingeni kutizama machalii wenye vipaji. Tokea nimehamishwa chuga na maisha sijuagi kama harakati zinaendelea. Kuna madogo wa matejoo wanaitwa wadudu wa dampo wabaimba hatari
Wadudu sio wa matejoo ni wa engosheratoni sinoni
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom