Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 35,234
- 56,619
Unatokea kijiji gani muheshimiwa?ok ngoja niende kijijin
Unatokea kijiji gani muheshimiwa?ok ngoja niende kijijin
Kama kweli wewe ni bikra na una miaka 26 Basi utakuwa umepiga nyeto SanaHabari za leo wana jf mimi ni kijana wa miaka 26 nimejitafuta kwa muda na kwa sasa nashukuru mungu niko tayari kwa ajili ya ndoa,na kifamilia na kimatunzo pia
hivyo basi naomba kufahamu kama kuna binti naweza pata humu kwa ajili tufanye maandalizi ya ndoa bila kupotezeana muda
SIFA ZA BINTI KWA UFUPI
1-awe mwaminifu
2-awe na heshima
3-awe mvumilivu
*kigezo cha ziada>ukiwa bikra itapendeza zaidi,kwa sababu hata mimi sijawahi kukutana na mwanamke kimwili
#nawasilisha.
Ingia mtaa wa Pili hapo ukiona Msichana au Mwanamke aliezidi miaka 18 na kuendelea umemwelewa anza na neno la utani "Mchumba" hio ni code nimekupa ukiona amekuitikia kwa kukuelewa anza kushusha CV yako akikuelewa hamia hatua nyingine ya kuchukua SIM 2000 alafu baada ya hapo mambo mengine yatafuatia mbele kwa mbeleok ngoja niende kijijin
kwa utafutaji huu wa make utakutana na gonorrhea ki urahisi sanaHabari za leo wana jf mimi ni kijana wa miaka 26 nimejitafuta kwa muda na kwa sasa nashukuru mungu niko tayari kwa ajili ya ndoa,na kifamilia na kimatunzo pia
hivyo basi naomba kufahamu kama kuna binti naweza pata humu kwa ajili tufanye maandalizi ya ndoa bila kupotezeana muda
SIFA ZA BINTI KWA UFUPI
1-awe mwaminifu
2-awe na heshima
3-awe mvumilivu
*kigezo cha ziada>ukiwa bikra itapendeza zaidi,kwa sababu hata mimi sijawahi kukutana na mwanamke kimwili
#nawasilisha.
Kwa hiyo unata uende kijiji gani ukachekicheki mademu mkuu wangu?Sikubahatika kuzaliwa huko boc
sawa jeshiIngia mtaa wa Pili hapo ukiona Msichana au Mwanamke aliezidi miaka 18 na kuendelea umemwelewa anza na neno la utani "Mchumba" hio ni code nimekupa ukiona amekuitikia kwa kukuelewa anza kushusha CV yako akikuelewa hamia hatua nyingine ya kuchukua SIM 2000 alafu baada ya hapo mambo mengine yatafuatia mbele kwa mbele
kila la kheri kaka 👍🏾tunahakikisha afya kabla ya ndoa
Ok mbuyane.Nashukuru munyampaa!😎🙏Okorinyi-manyoni
Na makucha yake, mwanaume bikra anatafuta mke JFKumekucha kumekucha!!
Kakifanyio kake kapo "sealed "!Ana un-seal before matumiko bin matumizi.Na makucha yake, mwanaume bikra anatafuta mke JF
Kubababake humu tu humu tu!Habari za leo wana jf mimi ni kijana wa miaka 26 nimejitafuta kwa muda na kwa sasa nashukuru mungu niko tayari kwa ajili ya ndoa,na kifamilia na kimatunzo pia
hivyo basi naomba kufahamu kama kuna binti naweza pata humu kwa ajili tufanye maandalizi ya ndoa bila kupotezeana muda
SIFA ZA BINTI KWA UFUPI
1-awe mwaminifu
2-awe na heshima
3-awe mvumilivu
*kigezo cha ziada>ukiwa bikra itapendeza zaidi,kwa sababu hata mimi sijawahi kukutana na mwanamke kimwili
#nawasilisha.
Mimi sio bkra
Wewe kaolewe hivo hivo.Mimi sio bkra
Akulekule ujana kwanzaWewe kaolewe hivo hivo.