Nina miaka 15 ndani ya JamiiForums

nzalendo

JF-Expert Member
May 26, 2009
10,825
10,131
Mabibi na mabwana nina mshukuru huyu atupaye pumzi na riziki.

Huu ni mwaka wa kumi na tano ndani ya jamii forum......(si mchezo)..

Mengi nimejifunza namshukuruni sana sana.

Na wale tunaopishana kimtazamo au mawazo hapan'shaka twasameheana manake kiukweli binadamu tuna mapungufu na mie njia ya kuondoa hasira ni kutoa tusi kidoogo..hivyo soree.

JF HOYEE
 
Mabibi na mabwana nina mshukuru huyu atupaye pumzi na riziki.
Huu ni mwaka wa kumi na tana ndani ya jamii forum......(si mchezo).

Ishi sana mkuu 👊
 
Hongera zako tele mkuu....
Nina swali la kizushi, hivi hua mnapataje ama nmatogozaje humu Jf..🙄
 
Hongera sana Mkuu!

Swali la Kizushi, je wewe ni Mzee kama vijana wa Afu mbili wanavyofikiri??
Nakuibia siri mie miaka ya themanini nilikuwa nakunywa bia Safari Hotel Arusha..kampani yangu ilikuwa Mako Nyerere akiwa CTU Monduli....kwa hiyo unaweza kadiria umri wangu....tukichangamka tunakwenda Haile selasie Rd...tulikuwa na mademu zetu watoto wa Chifunguo.
 
Mabibi na mabwana nina mshukuru huyu atupaye pumzi na riziki.
Huu ni mwaka wa kumi na tana ndani ya jamii forum......(si mchezo).
Mengi nimejifunza namshukuruni sana sana.
Na wale tunaopishana kimtazamo au mawazo hapan'shaka twasameheana manake kiukweli binadamu tuna mapungufu na mie njia ya kuondoa hasira ni kutoa tusi kidoogo..hivyo soree.
JF HOYEE
Una miaka 15 humu then unashindwa kuandika neno kumi na tano unaandika kumi na tana. Adhabu yako piga magoti omba mvua mpaka inyeshe
 
Hongera sana Mkuu!

Swali la Kizushi, je wewe ni Mzee kama vijana wa Afu mbili wanavyofikiri??
Watu wengi waliojiunga JF miaka ya nyuma wapo wanasoma ila hawachangii...kwa hiyo mada nyingi vijana ndio wanatawala...hii sio nzuri lakini watu wanaogopa kujibiwa vibaya
Kwa mfano mm..huwa najitahidi sana kuchangia kwenye mahusiano sana hasa ndoa maana ni tatizo (haimaanishi ndoa yangu iko sawa saaana)
Na sehemu nyingine ni kwenye watu wenye msongo wa mawazo (wengine huwa bahati mbaya wanajiua lakini wengine wengi wanabadilika)
Lakini yote ya yote principal ni ile ile
The New Overthrown the Old...Its an Old Rule
 
Back
Top Bottom