Baada ya kuwa msomaji miaka takribani 6 sasa nimejisajili rasmi JamiiForums

OCCID Dominik

Member
Apr 29, 2024
64
59
WAKUU HESHIMA SANA KWENU:

Nimekua msomaji humu jf miaka takribani sita ila now ni mwanachama haiiii..humu ni vile sijasomeka persnlty yangu kwa kuwa sikua rasmi ila character za members na vimbwanga vyao 97% nazijua kulingana na post zao kwa hiyo nina furaha kwa sasa nimekua mchangiaji pia.

Nitafurahi saaaana nikijakupata nafasi ya kuchat na kumeet nanyi mpatapo nafasi sababu safari moja hanzisha nyingine nadhani mnaona mpaka kuna watu wanakulana kimasihara humu.Pia salamu ziwafikie hawa specials wazee wa masimulizi nadhani mnawafahamu ambao huwa si wengi kama wakina analyse,the bold(nk) na wazee wa memes vithread uchwara na vimbwanga kama Mpwayungu village,riki boy,gentamycn,bei elekezi,miss natafuta,mdukuzi,,erythrocyte,Mr Liverpool VPN wa kataa ndoa,niffer,equation x,fagio la chuma,bujibuji(wazee wa amsha amsha huwa wanatoa challenge humu ndani) na wengine muwajuao.Mimi si muandishi mzuri sana mwisho namshukuru mama samia kwa kuingia jamii forum Tandao la Afrika mashariki kwa mara nyingine na tuseme KAZI IENDELEE.

NB:picha haihusiani na content ya thread.Naitwa OCCID DOMINIK. Karibuni green city.ASANTENI.
 
Attachments

  • 1714384183408.jpg
    1714384183408.jpg
    254.1 KB · Views: 3

Namba tu hujaweka muzeye.
 
Back
Top Bottom