Nina kipaji cha kuchoma hela niamishiwe wizara ya fedha.

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 5, 2015
19,727
45,212
Mimi hata ukinipa million 5 sasa hivi siwezi kujibania lazima ipigwe kiberiti kazi ya Hela sio kuwekwa chumbani au kuhifadhiwa.. Unajenga nini lijumba kubwa wakati una mwili mdogo we huoni wazungu hata vitanda vyao vidogo.. Nipelekwe BOT pale nikachome hela nitakuwa mwaminifu sitatoka na pesa chakavu.
 
Ndo unaamka shehe?
 
bangi bangi bangiiiii,♫︎♫︎♫︎♫︎♫︎
umenifanya nkutoroke♫︎♫︎♫︎♫︎♫︎
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom