jingalao
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 35,071
- 28,267
Katika hili sitakuwa mnafiki kama nitapongeza sekta ya afya.Sitakuwa mnafiki kama nitampongeza mama kwa kuupiga mwingi.
Leo kuna taarifa inasambaa mitandaoni kuwa Taasisi ya utafiti ya maswala ya tiba yaani NIMR wanaendelea na utafiti wa chanjo ya covid 19.hili ni jambo jema sana na linapaswa kusifiwa mno.
watafiti wetu wapambane usiku na mchana ili waje na chanjo hii KWA HISANI YA WATU WA TANZANIA!
Swala hili lisiwe la kisanii na wala lisichukue muda mrefu ,tupate chanjo yetu .
Suala hili ni moja ya maswala muhimu ya kumuenzi Dr John Pombe Magufuli .
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!

Ili kumuenzi komredi Magufuli pendekezo na 7 la kamati lipewe kipaumbele
Kwa vyovyote vile Tanzania inapigania ukombozi wa pili unaolenga kujitegemea kimaamuzi, kiuchumi, kiutamaduni na kihuduma. Tanzania iliingia uchumi wa kati mapema kabla ya muda iliyojipangia hii ilitokana na usimamizi na kujiamini kwa Jemadari wetu hayati John Pombe Magifuli . Magufuli...
www.jamiiforums.com
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!