dr namugari
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 9,777
- 16,578
Sasa mkuu una kata mwezi mzima huwez nunua suppu ya buku mbilj na chapati mbili HV utanenepa KweliHappy new year beautiful people.
Dear nutritionists mlioko JF naomba mnishauri diet itakayonisaidia kurudisha kilo zangu zilizopotea.
Nimekonda hadi nahisi watu wanahisi nina umeme(God forbid).
NB: Siumwi chochote na kila miezi 6/mwaka huwa nafanya general health check up ikijumlisha ini, figo, moyo, kansa ya mlango wa kizazi na matiti.(Ni kautamduni tu nimejiwekea)
Natanguliza shukrani