Lavit
JF-Expert Member
- May 16, 2011
- 13,416
- 27,947
Hizi ofisi za umma zina shida sana, leo nimeamka mapema sana nikasema acha nije wanikadirie ili nilipe kodi yao.
Shida inaanza wananiambia TIN haisomi location ya hapo kwao hivyo inabidi niihamishe, nimeingia online nimesubmitt request bado wananiambia haiwezi kuhama lazima niende huko ilipokuwa mwanzo, sasa dunia hii ya utandawazi mimi nisafiri zaidi ya km 1000 kubadili location ya TIN, sasa wameweka huduma online kwa ajili ya nini?
Hawa wafanyakazi wapo wapo tu naona sababu hawana cha kupoteza, wanasumbua watu halafu mwisho wa siku waje wafunge biashara!