Bedui la bongo
JF-Expert Member
- Aug 24, 2018
- 297
- 306
- Thread starter
- #21
Nmenunua mbuzi tena mmojaUahuru wa mbuzi 1000
Goat 1500
Jumla 2500
Labda huenda ulinunua mbuzi na ng'ombe sasa badala ya kuandika (Cow) akaweka Goat
Kama ni item mbili maana yake kuna mbuzi mdogo na mnyama mwingine mkubwa (ambaye hatujui anaitwaje)
Cha kushukuru Mungu umelipia
Mbuzi na Goti jumla 2500/= Imeisha huyo kachinje