Nimeikuta kwenye mnada Dakawa Morogoro

Bedui la bongo

JF-Expert Member
Aug 24, 2018
297
306
Kuna risiti nmeiona hapa morogoro niliponunua mbuzi sasa ilivyoandika ushuru wa mbuzi 1000 halafu baadae imeandikwa goat 1500 jumla elfu 2500 sasa goat nini na mbuzi nini hapo wakuu sijaelewa.

IMG_20220430_113144_198.jpg
IMG_20220430_113056_453.jpg
 
Labda kushiriki tu unatoa 1000. Kwa kila mbuzi atakayeuzwa unatoa 1500 ya ziada. Mf mbuzi 4 jumla 7000


y=1500x+1000
 
Uahuru wa mbuzi 1000
Goat 1500
Jumla 2500

Labda huenda ulinunua mbuzi na ng'ombe sasa badala ya kuandika (Cow) akaweka Goat
Kama ni item mbili maana yake kuna mbuzi mdogo na mnyama mwingine mkubwa (ambaye hatujui anaitwaje)

Cha kushukuru Mungu umelipia
Mbuzi na Goti jumla 2500/= Imeisha huyo kachinje
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom