Nimeamua Kulima kwa mara ya Pili kilimo cha mahindi

MR Mambo vipi baada ya kusoma hili andiko lako nimeshawishika nikuulize kuuhusu hili kwa sasa unaweza mshauri nini mtu anayetaka kuwekeA katika kilimo kwa xbbu sasa naamini ujuzi na uzoefu wa kutosha unao
Inasemekana huyu bwana elnino hayuko hai kwa sasa. Akipata hasara kubwa msimu wa kwanza tu akaamua kujinyonga. Chezea kilimo wewe!

Kilimo unaweza kuvuna mqvuno mengi ukakosa, ama soko likawepo lkn mazao yakagoma. Hapo bado siasa haijaingilia kati.
 
Thread ya 2010 nikiwa form one😜😝😋😝🎵💤wakati ukuta asee leo hiiii nmekua mshangazi 🎶🎶❗
 
Inasemekana huyu bwana elnino hayuko hai kwa sasa. Akipata hasara kubwa msimu wa kwanza tu akaamua kujinyonga. Chezea kilimo wewe!

Kilimo unaweza kuvuna mqvuno mengi ukakosa, ama soko likawepo lkn mazao yakagoma. Hapo bado siasa haijaingilia kati.
Si kweli
 
Wakuu nauliza kwa Ardhi ya Muheza Tanga zao gani lina muitikio mzuri kwa ile ardhi ? Vipi maharage yanastahimili ardhi ile?
 
Back
Top Bottom