Nimeaibika sana leo, nimejamba kikaoni mbele ya Binti nayempenda

Leo tukiwa kwenye kikoa Cha viongozi wa Casfeta hapa Mlimani, kikao kilianza Mida ya kumi na tulikuwa watu (viongozi kumi) wasichana sita na boys 4.

Basi kipindi kikao kinaendelea nikatoka kijambo cha hatari chenye sauti mbwiiiiiiitatatatatata tena kikanuka chumba kizima.

Bahati mbaya sana moja wa kiongozi ni binti nayempenda, hapa nipo nawaza sijui atanikubali.

Nime abika sana Aisee, Kesho Ibadan uso wangu tauweka wapi Mimi.
kweli kwa hapa DUCE wamepata msomi .
 
Aisee, pole naskia wapenzi wakizoeana wanajambianaga... kwahyo hata isikupe shida, uache kula kiporo asubui
 
Leo tukiwa kwenye kikoa Cha viongozi wa Casfeta hapa Mlimani, kikao kilianza Mida ya kumi na tulikuwa watu (viongozi kumi) wasichana sita na boys 4.

Basi kipindi kikao kinaendelea nikatoka kijambo cha hatari chenye sauti mbwiiiiiiitatatatatata tena kikanuka chumba kizima.

Bahati mbaya sana moja wa kiongozi ni binti nayempenda, hapa nipo nawaza sijui atanikubali.

Nime abika sana Aisee, Kesho Ibadan uso wangu tauweka wapi Mimi.
Mlimani ndio wapi kwanza? ni mlimani City, mlima wa moto kwa mwamposa, mlimani mtaani kwako au ni wapi hasa?
 
Uzuri wa jf records hazipotei
 
Back
Top Bottom