Nilivojifunika na mchanga msasani beach ili nipate usingizi,

LA7

JF-Expert Member
Aug 26, 2019
465
1,779
Kila ninacho kiandika humu huwa ni maisha yangu halisi



Basi tuende moja kwa moja kwenye mada, ilikuwa ni mwaka 2014 baada ya kutoka mkoani na kujikuta nikiishi maisha ya kutokuwa na mahali pa kuishi,



Nikajikuta naingia kwenye shughuli za beach boy bila kutarajia,



Ratiba yangu ilikuwa kama ifuatavyo,



.Naamka asubuhi na mapema nasubiria boti zinazotoka baharini ya kwanza kufika naifuata nikiwa nimebeba kidumu cha lita tano kilichokatwa kwa juu, afika hapo nasalimia, napewa samaki wawili au watatu au dagaa, naenda boti nyingine pia hivo hivo, wenyewe wanaita kupasa,



Basi bhana nikipewa samaki kidogo kidogo au dagaa naenda nauza napata 2000 au 3000 nabakisha kidogo napeleka kwa wakaangaji wananikaangia kwa ajili ya kula,



Narudi zangu maskani wakubwa wananiagiza sigara au dawa kubwa nawaletea, wengine wananilazimisha niwawashia kwa mdomo mm nakataa, naagizwa dukanni kununua unga mboga nk. Tunapika tunakula naagizwa shell nikalete mafuta ya boti naenda sheli ya namanga au mikocheni, narudi naagizwa nisogeze boti na kazi zingine mbali mbali,



Muda unafika wakubwa zangu wanaingia kwenye vyombo na kuelekea baharini, mimi naondoka zangu na kuelekea mandazi road kuangalia movies,



Nalipia 500 nachukua na juisi ya ukwaju ya 500 na kishet za 500 nakula huku naangalia movie



Inafika mpaka saa sita usiku mwenye banda ana dai tena hela 500 kwa ajili ya kuangalia movie za ngono, mimi naamua kuondoka zangu mdogo mdogo, nakatiza macho naingia bichi usiku



Nafika beach nakuta boti bovu ninalo lalaga lipo mbali kwani maji ya bahari yamejaa, nikiwa na bukta ya kaki rangi ya njano, naamua kufukua mchanga chini na kutengeneza shimo naingiza miguu yangu usawa wa mapaja kwa ulalo nafukia miguu na mchanga, kisha nasali halafu nalala, namshukuru mungu naiona siku nyingine tena naona boti za wavuvi zikiwasili tens ufukweni, naamka chap na kwenda kuchukua kopo langu la kupasia ninakolifichaga.
 
kila ninacho kiandika humu huwa ni maisha Yangu halisi

basi tuende moja kwa moja kwenye mada,
ilikuwa ni mwaka 2014 baada ya kutoka mkoani na kujikuta nikiishi maisha ya kutokuwa na mahali pa kuishi,

nikajikuta naingia kwenye shughuli za beach boy bila kutarajia,

ratiba Yangu ilikuwa kama ifuatavyo,

.naamka asubuhi na mapema nasubiria boti zinazotoka baharini ya kwanza kufika naifuata nikiwa nimebeba kidumu cha Lita tano kilichokatwa kwa juu, afika hapo nasalimia, napewa samaki wawili au watatu au dagaa, naenda boti nyingine pia hivo hivo, wenyewe wanaita kupasa,

basi bhana nikipewa samaki kidogo kidogo au dagaa naenda nauza napata 2000 au 3000 nabakisha kidogo napeleka kwa wakaangaji wananikaangia kwa ajili ya kula,

narudi zangu maskani wakubwa wananiagiza sigara au dawa kubwa nawaletea, wengine wananilazimisha niwawashia kwa mdomo mm nakataa, naagizwa dukanni kununua unga mboga nk. tunapika tunakula naagizwa shell nikalete mafuta ya boti naenda sheli ya namanga au mikocheni, narudi naagizwa nisogeze boti na kazi zingine mbali mbali,

muda unafika wakubwa zangu wanaingia kwenye vyombo na kuelekea baharini, Mimi naondoka zangu na kuelekea mandazi road kuangalia movies,

nalipia 500 nachukua na juisi ya ukwaju ya 500 na kishet za 500 nakula huku naangalia movie

inafika mpaka SAA sita usiku mwenye banda ana dai tena hela 500 kwa ajili ya kuangalia movie za ngono, Mimi naamua kuondoka zangu Mdogo Mdogo, nakatiza macho naingia bichi usiku

nafika beach nakuta boti bovu ninalo lalaga lipo mbali kwani maji ya bahari yamejaa, nikiwa na bukta ya kaki rangi ya njano, naamua kufukua mchanga chini na kutengeneza shimo naingiza miguu Yangu usawa wa mapaja kwa ulalo nafukia miguu na mchanga, kisha nasali halafu nalala, namshukuru mungu naiona siku nyingine tena naona boti za wavuvi zikiwasili tens ufukweni, naamka chap na kwenda kuchukua kopo langu la kupasia ninakolifichaga.
Ukiwa muongo uwe na kumbukumbu
 
Ukiwa muongo uwe na kumbukumbu
jaribu kuanzia hapa labda kama una kicha chepesi utaelewa
 
Ukiwa muongo uwe na kumbukumbu
maana umekuwa mbishi sana
Ukiwa muongo uwe na kumbukumbu


bado tu hujaamini

 
Back
Top Bottom