Nichague IPI kati ya Toyota Rav 4 kilitime na premio new model

Hapa kuna mambo mengi ya kuangalia
Kabla ya kuchagua
Zote ni second generation
Premio 2002/2005 vs rav 4. 2000/2005
1.Spare
Zote spare zake zinadum sana
Na zinapatikana kila mahali

2.engine
Zinaingiliana kwenye baadhi ya engine code
Tofauti kidogo
Premio zina machaguo 3
1nz
1zz(chukua hii)
1az
Reasons
1nz ni ndogo nzuri kwa mjin
Na ina changamoto ndogo ndogo hasa safari ndefu
1zz ni strong ina fix gaps za 1nz
1az achana nayo.ikimbie kabisa

Rav 4
1az
1zz
1kd
Kwenye 1az kimbia mbali achana nayo
1zz chukua haina shida
1kd hii ni deasel ukipata chukua challenge zake huwa ni nozel.pekee na hasa ukiweka mafuta machafu

3.Fuel
Premio itakupa 8 km/l town,13 adi 14 km/l highway
Rav 4 itakupa 7km/l town, 10 adi 11.5 km/l highway

4.Cargo
Hapa premio ana fail maana ana beba kg kama 500 tu maxmum
Ukizidisha shida
Na kila ukiweka mzigo mzito bush za nyuma zinakufa

Rav 4 inakula adi kg 900
Na inahimil mzigo ni kama ulitengenezwa hivyo

5.uses
Kama ni town sana
Na huna mishe sana za rough road go for premio (ila.ni laini sana) yake maplastic yake yakianza kulegea inakuwa na muonekano mbaya

Tofauti ni rav 4

6.changamoto
Rav 4 utakutana na changamoto ya matege tairi za nyuma,(hii inatibisha kuna ka shortcut ka kufanya).pia kuchemsha
Hii ni shauli sisi hatufuatilii service manual.za gari
Kuna muda unapaswa kuservice rejetor

Premio
Shida kukwa itakuwa kula.oil.baada ya km.150000 tegemea hili
Solution
Ni overall inakaa sawa

Muda sio rafiki
Zote nimekaa nazo kwa muda mrefu mazijua nje ndani
Ila
I recoment Rav 4 over premion kwa mtazamo.wangu
Why
1.fuel sio mbaya
2.durability(utafika nayo mbali)
3.space ya mzigo na kote unaenda
4.hata thamani haishuki sana
 
Shukrani sana mkuu
 
Nimejifunza kitu, ila sijaona unazungumzia issue ya cc, hii imetofautiana vipi na hizo aina 3 za injini??
Difo
 
Mkuu naomba kupata elimu kidogo umetaja injini za Rav 4 tatu. Je kuna injini ya Rav 4 inaitwa D4? Naomba elimu. Kama ipo je ikoje? Na inafanyaje kazi? Kama itakupendeza useme kidogo na Rv 4 Miss Tanzania kwa kulinganisha na Kill time, Asante.

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
Rav 4 second generation ina engine 3
1az /D4 petrol
1zz petrol
1Kd. Diesel

Zote ziko poa isipokuwa D4 ndo ina challenge kidogo hasa overheating,na block issues
Zingine ziko poa
Ingawa changamoto yake haizuii kuitumia kabisa
 
Back
Top Bottom