Naomba wimbo waGoezila ft Marco chali KING ZILA

CHORUS

"Jinsi ilivyo watu wanakaa
King zila King zila zila Ni balaa
Everybody knows zila Ni balaa
Kwenye game ye bei cheee"

Lakini punde, akakwingilia Jack Chan shashaaa
 
Ningependa kufahamu jina la wimbo pamoja na mwanamziki aloimba afro-zouk moja hv napata kaverse flan hv " ngayo naleliee eeeh eeh" ni mdada flan hv ss sema kwakweli nimeutafuta sn huo wimbo ni wa kitambo kidogo bila mafanikio yoyote, mwny kuufahamu tafadhali.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maisha ooh maisha....
Maisha mbona unanihangaisha....
Ipo siku namimi nitayapatiaaaa

K,K
 
Huu ni uzi maalum kwa MwanaJF kutoa Wimbo wake ambao amekuwa akiutafuta kwa miaka mingi, Bila ya Mafanikio. Kwa yule aliyenao anaweza kumsaidia mwenzie kwa kumtumia wimbo huo hapa.

Mimi jamani waungwana nitaftieni Simu ya Platnumz uloimbwa na dogo flani anaitwa Cylus kuna kipind alisukaga kiki ya kutoka na Wolper
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom