Victor P Ngowa
Member
- Mar 1, 2019
- 18
- 7
Write your reply...mwenye ngoma ya mike t _ acha kulia na Siri kali _ Mike t
Wakuu naomba nyimbo zifuatazo please;
DKNOB FT DULLY SYKES-HIVI KWANINI UNANIPENDA!?
D.KNOB FT KBASIL-NJOO TUCHEZE
MADEE FT MANDOJO -KAZI YAKE MOLA
IZZO B-PISHA NIPITE
IZZO B-NAKABA KOO
MADEE-CHEZA KIDOGO
AFANDE SELE-NILIE NA NANI!?
BLACK RHYINO-HAPPY
JPOP-TUNAKUPENDA
Mkuu naomba ngoma fulani ya Nigeria bang bang na ya Senegal ile Africa Africa Ehee sijui nani kaita... na ngoma zote fela kuti pls Mkuu
UnaimbwajeUke wimbo wa zamani ambao yanga wakifungwa unawekwa status kwenye whatsapp nautafuta sana ila jina silifahamu vizuri
Wakuu naombeni nyimbo za Zayb
Sister p, roho saba.. Natanguliza shukran'. Asante
Wakuu naombeni nyimbo za Zayb
Sister p, roho saba.. Natanguliza shukran'. Asante
Asante mkuu....Ila nilikua nataka audio yao ya kwanza co hii remix....