Wametoa?Wale wa TAKUKURU Majina tayari ya written.
Mwaka huu Ronja sidhani labda mwakaniNdo mana ukaambiwa JW halitabiliki. Unaweza kuta hilo limewekwa ili watu wajisahau, wapunguze kupiga simu kwa mimbanga yao kwa kuhisi washakosa…
Alafu unakuta jiiii, kuja kushtuka watu wanakula kiapo cha utumishi, wanaambiwa wakae mbali na siasa…
Kwa hiyo hakuna watakao enda kozi kwa intake mpya Jw kwa mwaka huu?Mwaka huu Ronja sidhani labda mwakani
Hii imeendaKwa hiyo hakuna watakao enda kozi kwa intake mpya Jw kwa mwaka huu?
Bando kaka bando.Wakuu, kimya kingi…
Poleni sana wakuu. Kuna lonja yoyote imepatikana?Bando kaka bando.
Nimesikia sikia kati ya mwezi huu wa 3 na 4 wamaweza toa mkuu, not certain though.Poleni sana wakuu. Kuna lonja yoyote imepatikana?
Huenda, maana jana nmepata Lonja kuwa wamechelewa kutoa kwa sababu ya Msuguano uliojitokeza..Nimesikia sikia kati ya mwezi huu wa 3 na 4 wamaweza toa mkuu, not certain though.
wapi huko jw au magerezaHuenda, maana jana nmepata Lonja kuwa wamechelewa kutoa kwa sababu ya Msuguano uliojitokeza..
Ila kila kitu kipo solved, muda wowote wanaachia
Mtipidiiwapi huko jw au magereza
Msuguano gani mkuu??Huenda, maana jana nmepata Lonja kuwa wamechelewa kutoa kwa sababu ya Msuguano uliojitokeza..
Ila kila kitu kipo solved, muda wowote wanaachia
Ile ishu ya Bunge kupinga kigezo cha JKT kwenye ajira…Msuguano gani mkuu??
Wamekubaliana vipi mkuu raia wanaingia au la?Ile ishu ya Bunge kupinga kigezo cha JKT kwenye ajira…
Kwa majeshi mengine yote ukiachana na TPDF, saivi unaingia bila cheti cha jktWamekubaliana vipi mkuu raia wanaingia au la?
Ko tpdf yenyewe lazima cheti Cha jaxKwa majeshi mengine yote ukiachana na TPDF, saivi unaingia bila cheti cha jkt
Sasa kama ndoivo JKT si inaenda kufa hususani kuchukua vijanaKwa majeshi mengine yote ukiachana na TPDF, saivi unaingia bila cheti cha jkt
Haifi, ila idadi itapungua…Sasa kama ndoivo JKT si inaenda kufa hususani kuchukua vijana