Ni kweli Iddy Amini Dada alikuwa anakula nyama za watu?

Mkimuyangu

JF-Expert Member
Oct 5, 2022
1,054
1,933
Hili swali nilikuwa najiuliza sana nikiwa mdogo mpaka sasa hivi au wanahistoria waliandinka ili kumchafua.

Yaani samaki na nyama za n'gombe ziliisha mpaka aanza kuwala, binadamu wenzake, eti alikuwa anajaza nyama za watu kwenye friji.
 
Kuna kabila Uganda wa hizi shutma za kula nyama za watu. Sishangai kw sababu hata wakonying'o walikuwa wanaliwa huko Congo.

Pia inaweza kuhusishwa na mambo ya kishirikina. Ila tetesi hizi sina uhakika nazo. .
 
Uongo tu na unafiki wa mchonga meno wa butiama
Wwe lucha Ni mpumbavu na ni mjinga sna unamuita Bab wa taifa mnafiki mchonga meno wew Ni mpumabvu ni nitakudharau kuanzi leo Hadi mwisho shenzi sna Huna adabu umelelewa na wazazi wa hovyo sna na Huna heshima na utakuwa nayo duniani na mbinguni
HV ukiulizwa leo Bab wa taifa kafanya makosa yapi Hadi kuwa mnafiki utaongeaa nn
Nimekudharua sna

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Kabla hujapata jibu jiulize "wachawi wanakula nyama za watu?" Baba wa taifa kwa utani wake alisema "ukila nyama ya binadamu ni tamu kuacha sio rahisi".
 
Wwe lucha Ni mpumbavu na ni mjinga sna unamuita Bab wa taifa mnafiki mchonga meno wew Ni mpumabvu ni nitakudharau kuanzi leo Hadi mwisho shenzi sna Huna adabu umelelewa na wazazi wa hovyo sna na Huna heshima na utakuwa nayo duniani na mbinguni
HV ukiulizwa leo Bab wa taifa kafanya makosa yapi Hadi kuwa mnafiki utaongeaa nn
Nimekudharua sna

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Kijana amejizima data kwaajili ya udini.
 
Ni propaganda tu. Hata Marekani alipoivamia Iraqi mwanzoni mwa miaka ya 2000, aliidanganya dunia ya kwamba Saddam Hussein eti anamiliki silaha za kemikali.

Ila mwisho wa siku, kila mtu aliutambua uzushi wa hilo Taifa chini ya Rais wake George Bush.
 
Back
Top Bottom