Ni Kwanini Watoto Mapacha (Kulwa&Dotto)Mmoja anakua na A.K.A na Mwingine asiwe Nayo?

Robidinyo

JF-Expert Member
Feb 20, 2016
3,829
8,039
Wanapozaliwa Watoto mapacha mkubwa uitwa Kulwa na mdogo Uitwa Dotto, huyu dotto automatically uitwa Doi

Hili Doi lilitokana na nini? Wajuvi mtujuze
 
Familia husika.

Kwetu pacha wetu wanaitwa KUBWA NA DOGO, hawakuitwa Kulwa na Doto kabisa.
 
Wanapozaliwa Watoto mapacha mkubwa uitwa Kulwa na mdogo Uitwa Dotto, huyu dotto automatically uitwa Doi

Hili Doi lilitokana na nini? Wajuvi mtujuze
Kanda ya ziwa hasa wasukuma ndo wanamuita Dotto Doi. Huenda doi ni kilugha
 
Back
Top Bottom