Lavit
JF-Expert Member
- May 16, 2011
- 13,353
- 27,771
Wakuu mwezi uliopita nilifanya malipo online kwa debit card ya equity, sasa leo kuna hela imechotwa kwenye account naambiwa ni mark-up fee!
Nimewapigia wanadai ni makato ya serikali ambayo ni 15%! Yaani wanamaanisha kwenye kila laki moja uwape 15k na kila milion uwape 150k! Mimi bado sijaelewa mantiki ya hii, kwanini waweke % zote hizi, kwani wakiweka 1-2 % watapungukiwa nini? Pengine lengo ni kupunguza hizi online payment, na bado ukinunua kitu kikija ndani wanataka kodi tena.
Hata hizo bei za huduma kama spotify nimeangali zina VAT ndani yake tayari, sasa markup fee ya nini?
Huu ubunifu wa CCM na kina Mwigulu sidhani kama una manufaa kwa ustawi wa wananchi kwa ujumla wake.