Ni hasara gani kubwa ulishawahi kuipata ikakurudisha nyuma?

Nilijiingiza kqwnye ufugaji wa kuku na nikanunua kuku wa tsh 2000,000 sikumaliza hata week mvua zikanyesha mafuriko yakasomba banda na kuku wake..... Sikukata tamaa nikanunua kiwanja sehemu nyingine nikajenga mabanda ya kisasa nikaanza na kuku wengine wa tsh 500,000 leo hii nina kuku zaidi ya 7000.

Sent using Jamii Forums mobile app
naomba nikuone mkuu nijifunzekama hutojari
 
Back
Top Bottom