Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 7,450
- 13,140
Barani Afrika Waarabu na timu zao wamekuwa mabingwa wa kubuni figisu na wengine kuanza kuiga. Baadhi ya figisu zao ni kumulika wachezaji kwa Lasers, kuwasha myoshi uwanjani na kuwatumia vijana waokota mipira kufanya figisu.
Nafikiri ni wakati wa timu zetu nazo kuanza kuumiza kichwa na kubuni figisu. Mbali na zile figisu za mbumbumbu kuwasha moto uwanjani, ni figisu gani "halali" timu mwenyeji inaweza kufanya ili ishinde?