Kuna ayo makun chizi sana jamaaComedians wa Nigeria nawakubali.
Bovi
Basketmouth
Klient the drunker (Ghana)
Ago Die
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu jombaa huwa ana sifa 😀😃Sung Dong-Il
View attachment 2895336
Kokoro was kibanda Cha mazagazaga, varshita😀Raia wote wa Kenya🤣🤣🤣
Hao wanawachekeshaga sana watoto, sijui kavaa hovyo, sura kaiwekaje sijui mara kabadili sautiKabisaa eliud noma
Hatumii nguvu aisee,anaongea km hataki
We km mi hao wa kutumia vitu sijui akunje sura sipendi