NHIF Tanga badilikeni

Ulongupanjala

JF-Expert Member
Apr 9, 2013
7,755
12,453
Habari ndugu zangu.

NHIF ofisi ya mkoa wa Tanga ni tatizo kubwa hadi muda huu 10:40 wateja bado hawajasikilizwa tunaambiwa wapo kwenye kikao.

Shame on you. Sisi wengi wetu ni wagonjwa tunataka kadi zetu tukatibiwe acheni uhuni na kujifanya ofisi ni mali zenu na familia zenu.

Vikao fanyeni muda ambao sio bize.

Imagine Jumatatu asubuhi mnaanza vikao vya kindezi.
 
Habari ndugu zangu.

NHIF ofisi ya mkoa wa Tanga ni tatizo kubwa hadi muda huu 10:40 wateja bado hawajasikikizwa tunaambiwa wapo kwenye kikao.

Shame on you.

Sisi wengi wetu ni wagonjwa tunataka kadi zetu tukatibiwe acheni uhuni na kujifanya ofisi ni mali zenu na familia zenu.

Vikao fanyeni muda ambao sio bize.

Imagine Jumatatu asubuhi mnaanza vikao vya kindezi.
Ofisi za umma zote Tanga zimelala sijui kwanini, kupata huduma tanga ni shida hawathamini mda wa watu kule.
 
Back
Top Bottom