Nguruwe ni mojawapo kati ya wanyama HAYAWANI?

Rabbon

JF-Expert Member
Apr 16, 2022
15,796
23,651
Salaam, shalom!!

Utafiti mdogo niliofanya unasema, mnyama huyu nguruwe, akizaa watoto, ukichelewa kuwaondoa, aweza kuwala wote pasi huruma,

Kuna wanyama na ndege walioumbwa wakiwa na utindio, aina Fulani ya ukichaa, mbuni akiwa Mmoja wapo,

Ikiwa mnyama huyu KWELI anaangukia kundi la wanyama wasio timamu , ni sahihi kuwatumia Kwa chakula?

Na Kuna uadui Gani kati ya nguruwe na mapepo?

Maana (Luke 8:30-32) nguruwe akaona kuliko kukaliwa na mapepo, Bora ajitose Baharini afe kuliko kumilikiwa na mapepo.

NB: Si Kila kitu kinafaa kula, nyamafu/mzoga kwanini hatuli hata kama hatujazuiwa?

Akili itumike, maana mwanadamu ni kiumbe mwenye akili.

Swali: Nguruwe ni HAYAWANI WA NCHI?

Karibuni 🙏
 
Mwenyezi Mungu ameahidi kutoa kipigo heavy kwa wala nguruwe ,Tena hasa Hawa wamataifa ,

Isaya 65

1 Watu wasionitaka wanauliza habari zangu; nimeonekana na hao wasionitafuta; naliliambia taifa lisiloitwa kwa jina langu,
2 Nitazameni, nitazameni. Mchana kutwa nimewanyoshea mikono yangu watu walioasi, watu waendao katika njia isiyo njema, wakifuata mawazo yao wenyewe;
3 watu wanikasirishao mbele za uso wangu daima, wakitoa dhabihu katika bustani zao, na kufukiza uvumba juu ya matofali;
4 waketio kati ya makaburi, na kulala katika mahali pao pa siri; walao nyama ya nguruwe, na mchuzi wa vitu vinichukizavyo u katika vyombo vyao;
5 watu wasemao, Simama peke yako, usinikaribie mimi, kwa maana mimi ni mtakatifu kuliko wewe; watu hao ni moshi puani mwangu, moto uwakao mchana kutwa.
6 Tazama, neno hili limeandikwa mbele zangu. Sitanyamaza, lakini nitalipa, naam, mimi nitawalipa ujira wao vifuani mwao;
 
Salaam, shalom!!

Utafiti mdogo niliofanya unasema, mnyama huyu nguruwe, akizaa watoto, ukichelewa kuwaondoa, aweza kuwala wote pasi huruma,

Kuna wanyama na ndege walioumbwa wakiwa na utindio, aina Fulani ya ukichaa, mbuni akiwa Mmoja wapo,

Ikiwa mnyama huyu KWELI anaangukia kundi la wanyama wasio timamu , ni sahihi kuwatumia Kwa chakula?

Na Kuna uadui Gani kati ya nguruwe na mapepo?

Maana (Luke 8:30-32) nguruwe akaona kuliko kukaliwa na mapepo, akaona Bora ajitose Baharini afe kuliko kumilikiwa na mapepo,

Karibuni 🙏
Kula Ng'ombe Mkuu.
 
Asee kutenganisha watu na huyo mdudu KAZI IPO,

Madaktari wamewambia kuwa ana minyororo isokufa lakini wapi!!
 
Mwenyezi Mungu ameahidi kutoa kipigo heavy kwa wala nguruwe ,Tena hasa Hawa wamataifa ,

Isaya 65

1 Watu wasionitaka wanauliza habari zangu; nimeonekana na hao wasionitafuta; naliliambia taifa lisiloitwa kwa jina langu,
2 Nitazameni, nitazameni. Mchana kutwa nimewanyoshea mikono yangu watu walioasi, watu waendao katika njia isiyo njema, wakifuata mawazo yao wenyewe;
3 watu wanikasirishao mbele za uso wangu daima, wakitoa dhabihu katika bustani zao, na kufukiza uvumba juu ya matofali;
4 waketio kati ya makaburi, na kulala katika mahali pao pa siri; walao nyama ya nguruwe, na mchuzi wa vitu vinichukizavyo u katika vyombo vyao;
5 watu wasemao, Simama peke yako, usinikaribie mimi, kwa maana mimi ni mtakatifu kuliko wewe; watu hao ni moshi puani mwangu, moto uwakao mchana kutwa.
6 Tazama, neno hili limeandikwa mbele zangu. Sitanyamaza, lakini nitalipa, naam, mimi nitawalipa ujira wao vifuani mwao;
Tunaishi na agano jipya mkuu,,kimwingiacho mtu si najisi bali kimtokacho😌😌
 
Salaam, shalom!!

Utafiti mdogo niliofanya unasema, mnyama huyu nguruwe, akizaa watoto, ukichelewa kuwaondoa, aweza kuwala wote pasi huruma,

Kuna wanyama na ndege walioumbwa wakiwa na utindio, aina Fulani ya ukichaa, mbuni akiwa Mmoja wapo,

Ikiwa mnyama huyu KWELI anaangukia kundi la wanyama wasio timamu , ni sahihi kuwatumia Kwa chakula?

Na Kuna uadui Gani kati ya nguruwe na mapepo?

Maana (Luke 8:30-32) nguruwe akaona kuliko kukaliwa na mapepo, akaona Bora ajitose Baharini afe kuliko kumilikiwa na mapepo,

Karibuni 🙏
Mnawawekea wanyama wasiotambuwa lolote makosa ujuwe binadamu tulivyokuwa hovyo.

Potelea mbali kwamba ni chakula, lakini nguruwe ana IQ sawa na mtoto mdogo. Na kuna watoto wadogo wana akili kuliko watu wazima.

Go figure…
 
Watetezi wa HAYAWANI 😀

Hiyo IQ mmepima lini?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom