Ngamiani: Mtoto atupwa chooni, Mama mtoto alikana kuwa mjamzito

Sijui ni kitu gani wanachodanganyika Hawa watoto kwa kweli. Na Mtu anaibeba mimba bila ata uoga Yani kwmba kitu gani kinaweza kumkuta endapo asipotoa taarifa kwa mzazi. Msaidieni tu alee mtoto wake, Dunia ya sasa inatia huruma Sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inawezekana, kuna mwanafunzi alijifungua bila mzazi wala walimu kujua. Mzazi kaja kugundua mtoto ana siiu 8 ndani. Mungu alivyo wa ajabu, alikuwa anamwacha mtoto nyumbani anaenda shule.
Mda huo huyo mzazi yupo wap? Inamaana katoto kalikuwa akalii?

Yan mda mwingne ni uzembe wa kutofatilia watoto
 
Hii kitu isikie Ivi ivi usiombe ikukute. Nina shuhuda kama 5 zote za watoto waliobeba mimba wakiwa shuleni mpk wanafikisha 9 months wazazi hawajui, wanapewa taarifa tu ya mtoto kujifungua, Tena na wazazi wakiwepo hospital apo apo .

Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee!!? Sasa hapo ni uzembe wa wazazi kutowafatilia na kuwachunguza ama ndio maumbo ya wahusika yalivyo
 
Imetokea leo hospital ya Ngamiani inasemekana dogo ni mwanafunzi wa shule kamaliza Sekondari na kafaulu kwenda kidato cha 5.

Alikuwa na mimba anajificha watu wasijue akawa anaumwa anamwambia shangazi yake tumbo linamsumbua Leo akampeleka hospitali wajue Nini tatizo, Daktari kumuliza anamwambia ana fangasi zinamsumbua akaambiwa mbona Kama wewe una mimba? akawa anakataa kumbe uchungu ulikuwa ushambana Sana ikabidi aambiwe aende akalete mkojo.

Kumbe ndo muda wa kuzaa umefika alipofika chooni akawa anazaa alipomaliza akataka kumsokomeza kwenye sinki la choo mtoto mkubwa akashindwa kupita akamuacha.

Sasa mgonjwa mmoja akasikia mbona chooni kwalia mtoto akaita manesi wakaenda kumchukua kwa kujua mama wa mtoto kakimbia kumbe yupo kwenye foleni

Watu Wanalaani na shangazi yake pia analaani kumbe ni mwanae kufika zamu yake daktari akamkagua anaona damu, akumuliza tena akakataa akampeleka leba kwa uchunguzi zaidi manesi kumchunguza akaoneka kazaa akakataa akabanwa kuwa anapelekwa polisi ndo akasema kazaa mtoto yupo chooni.
Si kwamba sihuzunishwi na kilichotokea....

Jamani watanzania wakati mwingine hasa tunapokuwa na taarifa fulani ambayo imekwisha fanyiwa kazi lakini haijatolewa ufafanuzi, tujitahidi kuto kutaja Jina la Taasisi yeyote, kama wewe si muhusika nikiwa na maana Incharge Officer wa Taasisi husika....

Lengo ni kuielimisha jamii ili tuelewe na kujifunza Moderator Nafikiri kuna haja ya kuwa na kipengele cha kureview thread kabla haijawa public.....

Balvejmumt 2022
 
Kwaiyo ulitaka asiseme kilichotokea Hadi uyo I charge officer ndio atoe taarifa? Unataka kuleta siasa hapa. Mtoa mada yupo sahihi kuhabarisha umma.
 
Aisee!!? Sasa hapo ni uzembe wa wazazi kutowafatilia na kuwachunguza ama ndio maumbo ya wahusika yalivyo
Ata celewi ni maumbo au kitu gani. Lkn ni wembamba kabisa Yani, ata huelew iyo mimba imebebewa wapi. Kuna mmoja nilikuwa naish naye kbs, Lkn Mpk siku anajifungua mbele yangu chooni kwenye sinki, Mimi nilikuwa sijui kama ndo anazaa apo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Si kwamba sihuzunishwi na kilichotokea....

Jamani watanzania wakati mwingine hasa tunapokuwa na taarifa fulani ambayo imekwisha fanyiwa kazi lakini haijatolewa ufafanuzi, tujitahidi kuto kutaja Jina la Taasisi yeyote, kama wewe si muhusika nikiwa na maana Incharge Officer wa Taasisi husika....

Lengo ni kuielimisha jamii ili tuelewe na kujifunza Moderator Nafikiri kuna haja ya kuwa na kipengele cha kureview thread kabla haijawa public.....

Balvejmumt 2022
Sijakuelewa Mkuu. Hebu fafanua zaidi
 
Imetokea leo hospital ya Ngamiani inasemekana dogo ni mwanafunzi wa shule kamaliza Sekondari na kafaulu kwenda kidato cha 5.

Alikuwa na mimba anajificha watu wasijue akawa anaumwa anamwambia shangazi yake tumbo linamsumbua Leo akampeleka hospitali wajue Nini tatizo, Daktari kumuliza anamwambia ana fangasi zinamsumbua akaambiwa mbona Kama wewe una mimba? akawa anakataa kumbe uchungu ulikuwa ushambana Sana ikabidi aambiwe aende akalete mkojo.

Kumbe ndo muda wa kuzaa umefika alipofika chooni akawa anazaa alipomaliza akataka kumsokomeza kwenye sinki la choo mtoto mkubwa akashindwa kupita akamuacha.

Sasa mgonjwa mmoja akasikia mbona chooni kwalia mtoto akaita manesi wakaenda kumchukua kwa kujua mama wa mtoto kakimbia kumbe yupo kwenye foleni

Watu Wanalaani na shangazi yake pia analaani kumbe ni mwanae kufika zamu yake daktari akamkagua anaona damu, akumuliza tena akakataa akampeleka leba kwa uchunguzi zaidi manesi kumchunguza akaoneka kazaa akakataa akabanwa kuwa anapelekwa polisi ndo akasema kazaa mtoto yupo chooni.
Angejuwa angekataa hata ichokitendo alichofanya nakumsabishia apate icho kichanga
 
Ata celewi ni maumbo au kitu gani. Lkn ni wembamba kabisa Yani, ata huelew iyo mimba imebebewa wapi. Kuna mmoja nilikuwa naish naye kbs, Lkn Mpk siku anajifungua mbele yangu chooni kwenye sinki, Mimi nilikuwa sijui kama ndo anazaa apo

Sent using Jamii Forums mobile app
Wa leo ni hivyo hivyo Yani kaambiwa akalete mkojo ndo akamaliza kila kitu mgonjwa mwenzie anaenda jisaidia anasikia mtu anajikakamua akajua anakataa gogo akapuzaa lakini akambiwa Leo sio tarehe yake ya kriniki aende nyumbani anapita palepale anasikia suti ya mtoto chooni anaita mwezie amsaidie akakataa kumbe ndo mwenyewe ndo ikabidi akawaite manesi watu wanaangaika kutafuta mwenye mtoto watu Wana Lani kumbe yupo na anawasikia ata alie nae ana Lani pia yeye anawasikia tu na yupo kimya
 
Sasa jaman huyo shangazi ake alikuwa aoni kuwa mtoto wao ana mimba? Ama hio mimba yame ilikuweje had watu kushindwa kuitambua
Mkuu pengine mibaibui si unaona kabisa imetokea Visiwani huko?huenda alijificha kwa mgongo wa Stara hasa kama ana chura
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom