Netanyahu na Waziri wake wa Ulinzi waliwambia Israel kuwa Hamna tena Hamas Gaza angalia Video Hamas wanachofanya

Ritz

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
47,392
33,045
Wanaukumbi.

⚡️Hamas wamebadili namna ya kupigana vita sasa hivi wanapigana vita vya kuvizia vimejipanga vyema kiasi kwamba walitega kamera kwenye maeneo ya kuua wanajeshi wa IDF na kujua ni wapi askari wanakwenda kutembea na mizinga itaingia wapi na ni jengo gani kwa askari watakimbilia, Netanyahu na Waziri wake wa Ulinzi wanasema wamewamaliza Hamas hamna tena Hamas Gaza.

Ni kazi bora ya kihistoria

View: https://x.com/me_observer_/status/1777746046887547359?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Nimeipenda hio. Muislam hapotezi ktk vita vya Jihad
 
Wanaukumbi.

⚡️Hamas wamebadili namna ya kupigana vita sasa hivi wanapigana vita vya kuvizia vimejipanga vyema kiasi kwamba walitega kamera kwenye maeneo ya kuua wanajeshi wa IDF na kujua ni wapi askari wanakwenda kutembea na mizinga itaingia wapi na ni jengo gani kwa askari watakimbilia, Netanyahu na Waziri wake wa Ulinzi wanasema wamewamaliza Hamas hamna tena Hamas Gaza.

Ni kazi bora ya kihistoria

View: https://x.com/me_observer_/status/1777746046887547359?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

Weka basi hiyo video ya Netanyahu akisema Hamas hawapo tena Gaza.. au ndio Taqiyya mafunzo ya Allah
 
Tatizo nao kichapo kikizidi wanalia lia kwa kupitia Al-Jazeera ili Dunia iwaonee huruma
Kumbe wanaweza kupambana waendelee kupambana
"Ukinipiga unanionea ukiniacha unaniogopa" ni kama zile nyimbo za kwenye Santuri za zamani Netanyahu amalize kazi.
 
Wanavua jezi,Acha Israel awachanganye Raia na hamas aue wote tu,hakuna namna sasa
Hao hawajali Raia, Hamas wako Kidini zaidi na wanalipwa na Iran Qatar na Islamic Brotherhood ndio maana jana waliiba chakula cha msaada wa Raia na kukipeleka kwenye mahandaki kwenda kulisha wanamgambo wao.
 
Tatizo nao kichapo kikizidi wanalia lia kwa kupitia Al-Jazeera ili Dunia iwaonee huruma
Kumbe wanaweza kupambana waendelee kupambana
Pigana na Hamas unapigana na watoto wa na wagonjwa unaita kichapo angalia hiyo video baada ya kipigo wameondoa majeshi wamebakia kurusha mabomu hovyo.
 
Wanaukumbi.

⚡️Hamas wamebadili namna ya kupigana vita sasa hivi wanapigana vita vya kuvizia vimejipanga vyema kiasi kwamba walitega kamera kwenye maeneo ya kuua wanajeshi wa IDF na kujua ni wapi askari wanakwenda kutembea na mizinga itaingia wapi na ni jengo gani kwa askari watakimbilia, Netanyahu na Waziri wake wa Ulinzi wanasema wamewamaliza Hamas hamna tena Hamas Gaza.

Ni kazi bora ya kihistoria

View: https://x.com/me_observer_/status/1777746046887547359?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

God Bless Israel
 
Wanavua jezi,Acha Israel awachanganye Raia na hamas aue wote tu,hakuna namna sasa
Hao hawajali Raia, Hamas wako Kidini zaidi na wanalipwa na Iran Qatar na Islamic Brotherhood ndio maana jana waliiba chakula cha msaada wa Raia na kukipeleka kwenye mahandaki kwenda kulisha wanamgambo wao

Wao lengo lao ni kuukomboa Msikiti wa Al Qudus.
 
"Ukinipiga unanionea ukiniacha unaniogopa" ni kama zile nyimbo za kwenye Santuri za zamani Netanyahu amalize kazi.
Kuna la kujifunza mijitu mieusi wapalestina wanapambania nchi yao na kutokubali japo hawana siraha ni nchi gani ya Africa watuwake wangekuwa tayari hivi kwa kizazi hichi??? Pamoja na wazungu kutuona sisi nyani lakini mapenzi ya mijitu mieusi kwa mzungu hayana kikomo..ukiondoa South Africa wanaojitambua.
 
Back
Top Bottom