Nefukuzwa kwenye jumba(ghorofa)langu la Mbweni na mke wangu kisa kuibiwa milioni 10 jana

Bilionaire kekeman

Senior Member
Nov 26, 2022
142
824
Hawa wanawake bwana sijui wapoje aisee sijui mgnga wao yuko wapi sijui amekufa au nae amerogwa maan haiwezekani wakati namuoa mke wangu hili jumba langu yeye amelikuta la milioni 200 halafu eti kisa mimi nimepoteza hela za mboga tu vijisenti ndiyo amehamaki na kuamua kunifukuza nyumbani kwenye bangaloo langu hii sio fair kabisa

Na cha ajabu hasa Nissan juke langu ameninyanganya anasema kama unataka kuondoka nalo atanipiga ila nimeamua sio kesi nitaenda zangu kwenye jumba langu lililokuwepo huko nairobi mtaani wa careen kule kuna magari yangu mengi sana ikiwwpo jeep langu,landcruser hardtop,G wagon na magari mengine matano na hivyo hivyo kuna biashara kibao kule
 
Umesahau mafaili juzi ulileta Uzi kama huu anyways ni wakati wako ulichoka utaacha
 
Hospitali ya Muhimbili ianzishe kitengo cha "vijana walioweuka" kutokana na visungura na hanschoice. Wagonjwa ni wengi mtaani.
 
Back
Top Bottom