Ndani ya miaka 5, Klabu ya Simba imebadili Makocha 9

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,435
8,254
Makocha walioifundisha Klabu ya Simba kuanzia 2018 - 2024

Januari 2018 - Juni 2018
Pierre Lechantre

Julai 2018 - Novemba 2019
Patrick Aussems

Desemba 2019 - Januari 2021
Sven Vendenbroeck

Januari 2021 - Oktoba 2021
Didier Gomez

Novemba 2021 - Mei 2022
Pablo Franco

Juni 2022 - Septemba 2022
Zoran Mac

Septemba 2022 - Januari 2023
Juma Mgunda

Januari 2023 - Novemba 2023
Roberto 'Robertinho' Olivieira

Novemba 2023 - Aprili 2024
Abdelhak Benchikha

Aprili 2024
Juma Mgunda
 
Viongozi wa Simba Sc ndio tatizo, wamepoteza muelekeo hawajui wanachofanya, kufukuza makocha hovyo ni kuwadanganya wajinga ili waonekane wanafanya kazi, kumbe hakuna kazi yoyote wanayofanya.
 
Makocha walioifundisha Klabu ya Simba kuanzia 2018 - 2024

Januari 2018 - Juni 2018
Pierre Lechantre

Julai 2018 - Novemba 2019
Patrick Aussems

Desemba 2019 - Januari 2021
Sven Vendenbroeck

Januari 2021 - Oktoba 2021
Didier Gomez

Novemba 2021 - Mei 2022
Pablo Franco

Juni 2022 - Septemba 2022
Zoran Mac

Septemba 2022 - Januari 2023
Juma Mgunda

Januari 2023 - Novemba 2023
Roberto 'Robertinho' Olivieira

Novemba 2023 - Aprili 2024
Abdelhak Benchikha

Aprili 2024
Juma Mgunda
Timu yenye viongozi wapuuzi sana!
 
Bado wanajitafuta na wakidhani Shida ni kocha .. wasajili vizuri kwanza na uongozi usiwe wa siasa.
 
Makocha walioifundisha Klabu ya Simba kuanzia 2018 - 2024

Januari 2018 - Juni 2018
Pierre Lechantre

Julai 2018 - Novemba 2019
Patrick Aussems

Desemba 2019 - Januari 2021
Sven Vendenbroeck

Januari 2021 - Oktoba 2021
Didier Gomez

Novemba 2021 - Mei 2022
Pablo Franco

Juni 2022 - Septemba 2022
Zoran Mac

Septemba 2022 - Januari 2023
Juma Mgunda

Januari 2023 - Novemba 2023
Roberto 'Robertinho' Olivieira

Novemba 2023 - Aprili 2024
Abdelhak Benchikha

Aprili 2024
Juma Mgunda
1. Gamondi
2. Nabi
3. Kaze
4. Krimpotic
5. Mkwasa
6. Mwinyi Zahera
7. Lucy Eymael
8. Lwandamina

Hakuna tofauti yoyote zaidi Simba wana mafanikio kuliko hao wengine maana hapo ni Mgunda na Maki tu ndiyo hawana kombe wengine walipeleka kombe Simba.
 
Viongozi wa Simba Sc ndio tatizo, wamepoteza muelekeo hawajui wanachofanya, kufukuza makocha hovyo ni kuwadanganya wajinga ili waonekane wanafanya kazi, kumbe hakuna kazi yoyote wanayofanya.

Simba Vs Yanga 😀😀
 
Back
Top Bottom