Nchimbi: Mtu anayetafuta madaraka kwa kufarakanisha wenzake hafai kuwa kiongozi kwenye chama chetu

Cute Wife

Senior Member
Nov 17, 2023
124
306
nchimbi.jpg

Katibu Mkuu wa chama tawala nchini Tanzania CCM, Dkt. Emmanuel Nchimbi amewataka wanachama wa CCM kudumisha umoja na kuepuka mifarakano inayoweza kukisambaratisha chama hicho. Nchimbi ametoa kauli hiyo wakati wa ziara yake mkoani Songwe na kuongeza kwamba “mtu anayetafuta madaraka kwa misingi ya ukabila au dini hafai kuwa kiongozi wetu, chama kibovu kitazaa serikali mbovu.“

Wakuu, unafikiri nchimbi alikuwa anamrushia nani kijembe?
 
Wewe umehisi kamrushia nani labda!
 
Sidhani kama CCM Ina uhalali wa kusema hivyo, kwa sababu wao kuendelea kubaki madarakani kunategemea na vitendo viovu vya kuwafarakanisha watu.
 
Duh, kweli wajinga hawawezi kuisha hata iweje. Yaani huyo katili na mropokaji ndo ana mvuto nje? Unless huo mvuto wa nje unaosema uwe ni makali,o yake makubwa.
Sana yaani ni kama maji lazima uyanywe, Dkt Makonda watanzani tunampenda kinoma! Mpaka wadudu wa Arusha wanamkubali sembuse wewe kipusa
 
Back
Top Bottom