Nchi haimthamini mtu anayejituma na anaekomaa na taaluma

Madwari Madwari

JF-Expert Member
Sep 16, 2014
1,116
1,950
Nimeweka uzi huu kwa sababu nipo Ulaya na Ijumaa hii ya leo(22.12.2023) nimepewa tuzo ya utumishi bora katika kampuni ya Continentall hapa Ingolstadt Ujerumani.

Tanzania haithamini wasomi na wananchi wenye vipaji nilikuja Ujerumani March 2023 mwezi huu nimepewa tuzo, nimepandishwa cheo na nimepewa Holiday bonus. Bado mimi ni mwanafunzi nasoma Masters THI(Technische Hoschule Ingolstadt).

Aisee serikali ikitaka sisi tufike mbali inabidi wathamini watu wanaojituma. Wanaofaidi nchi kwa sasa na miaka ijayo ni mashabiki wa kisiasa na sio wanaojituma katika sekta au taaluma zao. Nchi haimthamini mtu anayejituma na anaekomaa na taaluma.

Siwezi kuandika sana sasa hivi ni saa 19:20 pm na huku Bavaria ndo sherehe ndo inaanza na ni Ijumaa.
 
Tz dili kubwa ni Siasa, hawataki wasomi wala ushauri wao wa kitalaamu kutokana na usomi wao. Ukiwa Tz wewe jikite kwenye Siasa za uchawa za kusifia kila kitu kinachofanywa na chama tawala au watawala, siyo kuleta usomi wako.
 
Nimeweka uzi huu kwa sababu nipo Ulaya na Ijumaa hii ya leo(22.12.2023) nimepewa tuzo ya utumishi bora katika kampuni ya Continentall hapa Ingolstadt Ujerumani.

Tanzania haithamini wasomi na wananchi wenye vipaji nilikuja Ujerumani March 2023 mwezi huu nimepewa tuzo, nimepandishwa cheo na nimepewa Holiday bonus. Bado mimi ni mwanafunzi nasoma Masters THI(Technische Hoschule Ingolstadt).

Aisee serikali ikitaka sisi tufike mbali inabidi wathamini watu wanaojituma. Wanaofaidi nchi kwa sasa na miaka ijayo ni mashabiki wa kisiasa na sio wanaojituma katika sekta au taaluma zao. Nchi haimthamini mtu anayejituma na anaekomaa na taaluma.

Siwezi kuandika sana sasa hivi ni saa 19:20 pm na huku Bavaria ndo sherehe ndo inaanza na ni Ijumaa.
Uchawa ndio Tundu ya Taifa la Tanzania Kwa Sasa
 
Hongera sana Mkuu endelea kupambana huko Ulaya
 
Bongo ni nchi ya kisiasa hamna mambo ya kuangalia elimu na uwezo wa mtu..

Watu wengi wanapenda kufanya kazi nje ya nchi ..
 
Back
Top Bottom