Naweza kwenda Posta kuulizia mzigo wangu kutoka Aliexpress

luangalila

JF-Expert Member
Jan 12, 2014
6,328
6,879
Wadau habarini za mchana.

Nilinunua bidhaa kule Aliexpress tangu December mwaka jana, mpaka leo sijapokea ujumbe toka posta juu bidhaa yangu kufika Bongo, ila yule muuzaji anadai percel imeshafika DSM muda mrefu tu.

Je inawezekana kwenda pale posta kuuliza endapo kama kuna kifurushi kimetumwa kwa jina langu?
 
Haha nili claim refund kuna seller mmoja karejesha pesa japo analalamika sana anasema ktk dashboard yake inaonyesha mzigo umefika Tz, seller mwingine kakomaa anasema nemba postal office mzigo ushafika Tz
 
Haha nili claim refund kuna seller mmoja karejesha pesa japo analalamika sana anasema ktk dashboard yake inaonyesha mzigo umefika Tz, seller mwingine kakomaa anasema nemba postal office mzigo ushafika Tz
Tatizo lipo bongo , binafsi sijawah fanya biashara na wafanyabiashra waaminifu kama kutoka AliExpress na Alibaba ..... Ni rahsi kutapeliwa hapa hapa Tanzania tena kariakoo huku muuuzaji unamuona kuliko hawa watu waliopo mbali , wapo professional Sana .....

Ushauri wangu , shipping kuja bongo zimejaa usanii ndo mana Amazon au hata eBay wanazingua shipping kuja huku ..,... Nunua bidhaa kwenye site hzo , mwambie suppliers apeleke Kwa agent wanaoleta mizigo bongo , mbna wapo wengi Tu air cargo au sea .. ndani ya mwez mzigo umepata ..... Achana na posta , wapo careless Sana na utaibiwa mzigo , na hata ukifika utabambikiziwa Kodi kibao
 
Tatizo liko hapa kwetu, mfano Mimi Kuna items nilinunua tangu mwezi wa pili estimated delivery ilikuwa ni March 12 - Apr 11 na ilipofika tarehe 24 March items zikawa zimefika Tz. Kuanzia tarehe ya items kufika kila nikifanya Tracking kwa kutumia app ya 17TRACK inaonyesha mzigo uko Held by customs ila nikifanya tracking kwa AliExpress inaonyesha Started customs clearance process, tangu tarehe 24 March started clearance process!

Uzembe na wizi wa items hufanyika hapa kwetu, kuna watendaji baadhi ambao sio waaminifu wanaochafua. Ninahisi hii inaweza kuwa sababu kwa baadhi ya seller kutosafirisha items kuja kwetu, mfano mimi tayari nimefungua dispute na wewe ukifungua dispute na item yako imefika ila mwizi mmoja ama mzembe mmoja ameikalia hili itaonekana ni tatizo kubwa kufanya biashara na sisi.

AliExpress mimi ninawaamini, sababu sijawahi kupoteza pesa na nimekuwa napata kila nichohitaji nikiondoa huu ucheleweshaji.
 
Tatizo liko hapa kwetu, mfano Mimi Kuna items nilinunua tangu mwezi wa pili estimated delivery ilikuwa ni March 12 - Apr 11 na ilipofika tarehe 24 March items zikawa zimefika Tz. Kuanzia tarehe ya items kufika kila nikifanya Tracking kwa kutumia app ya 17TRACK inaonyesha mzigo uko Held by customs ila nikifanya tracking kwa AliExpress inaonyesha Started customs clearance process, tangu tarehe 24 March started clearance process!!. Uzembe na wizi wa items hufanyika hapa kwetu, kuna watendaji baadhi ambao sio waaminifu wanaochafua. Ninahisi hii inaweza kuwa sababu kwa baadhi ya seller kutosafirisha items kuja kwetu, mfano mimi tayari nimefungua dispute na wewe ukifungua dispute na item yako imefika ila mwizi mmoja ama mzembe mmoja ameikalia hili itaonekana ni tatizo kubwa kufanya biashara na sisi. AliExpress mimi ninawaamini, sababu sijawahi kupoteza pesa na nimekuwa napata kila nichohitaji nikiondoa huu ucheleweshaji.
Hebu tuanzisheni ka uzi ka kupaza saut pale posta na airport upande wa cargo inakofikia mizigo yetu ili tujue tunaendaje pia mimi tricky yangu hua nikiona mzigo umeingia tu na umevuka au kwa clearance process nikishautrack tu na website ya posta basi hupiga picha kabisa na kutuma email GPo ya kuwa alert kua mzigo wangu umefika na sitegemei upotelee hapo ilhali evidence ya kua umefika.

Nimewatumia natumini niupokee posta ya mkoani haraka sana Chinj naweka na ka namba ka simu.Utaona tu umejibiwa au umepigiwa simu kabisa bwana leo mzigo tumeutuma kuja huko Nanjilinnji
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom