Naweza kumuunga mkono Magufuli kama Rais wa Tanzania, si kama m/kiti wa 'kikundi' cha CCM!! Kuimba sifa za Rais na Chama hapana!!

mr mkiki

JF-Expert Member
Sep 22, 2016
5,588
11,668
Naweza kumuunga mkono Magufuli kama Rais wa Tanzania, si kama m/kiti wa 'kikundi' cha CCM. Bado nasubiri siku akiwa Rais wa Tz nimuunge mkono, kama hiyo siku itafika.

Waharibifu wa katiba wamekuwapo kote duniani, tofauti ni kwamba huko kwengineko uvumilivu ulikwisha, kwahiyo hawawezi kudumu. Sisi bado tunawavumilia, kwahiyo wanadumu.

Ujenzi wa kweli wa Taifa lolote duniani unaanza na kuwajenga watu wa Taifa hilo. Watu wakishajengeka; kielimu, kiuchumi, kiafya, kizalendo nk - nawo watajenga Taifa lao. Mambo mengine yote mazuri yafanyike kwa manufaa ya watu, na sio watu wataabike kwa manufaa ya hayo mambo.

Imba sifa za Rais na Chama, tukana wapinzani, halafu fanya biashara haramu hata kuuza dawa za kulevya upate pesa nyingi, endelea kusifu juhudi za Rais, utabaki salama.

Kuwa mpinzani, toa maneno ya kumuudhi Rais na Chama lakini uwe clean. Tutakupa kesi isiyo na dhamana!
IMG_20200513_220444.jpeg
 
Naweza kumuunga mkono Magufuli kama Rais wa Tanzania, si kama m/kiti wa 'kikundi' cha CCM. Bado nasubiri siku akiwa Rais wa Tz nimuunge mkono, kama hiyo siku itafika.

Waharibifu wa katiba wamekuwapo kote duniani, tofauti ni kwamba huko kwengineko uvumilivu ulikwisha, kwahiyo hawawezi kudumu. Sisi bado tunawavumilia, kwahiyo wanadumu.

Ujenzi wa kweli wa Taifa lolote duniani unaanza na kuwajenga watu wa Taifa hilo. Watu wakishajengeka; kielimu, kiuchumi, kiafya, kizalendo nk - nawo watajenga Taifa lao. Mambo mengine yote mazuri yafanyike kwa manufaa ya watu, na sio watu wataabike kwa manufaa ya hayo mambo.

Imba sifa za Rais na Chama, tukana wapinzani, halafu fanya biashara haramu hata kuuza dawa za kulevya upate pesa nyingi, endelea kusifu juhudi za Rais, utabaki salama.

Kuwa mpinzani, toa maneno ya kumuudhi Rais na Chama lakini uwe clean. Tutakupa kesi isiyo na dhamana!View attachment 1461781
Mkuu Mr Mkiki pamoja na hoja zako nzuri na zenye kufikirisha, lkn hiyo picha uliyoiambatanisha imeshamponza mtu tayari, na sasa hivi yupo ndani ya mikono ya jeshi la polisi kwa ajili ya mahojiano.
 
Kuna binadamu wanajua kusifu mpaka huwa naishia kusema hiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!

Hivi na Mungu huww wanamsifu hivi kweli!
 
Braza mbona Mimi nimeweka tu picha sijasema chochote.
 
Kuna binadamu wanajua kusifu mpaka huwa naishia kusema hiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!

Hivi na Mungu huww wanamsifu hivi kweli!
Ndio Tanzania.
 
Mkuu Mr Mkiki pamoja na hoja zako nzuri na zenye kufikirisha, lkn hiyo picha uliyoiambatanisha imeshamponza mtu tayari, na sasa hivi yupo ndani ya mikono ya jeshi la polisi kwa ajili ya mahojiano.
Kwani kuna tatizo gani na picha hii? %^&&***he@!~~hee...
 
Back
Top Bottom