Plot4Rent Nauza uwanja 30x30 Buswelu-Mwanza niende ulaya; 5m surveyed

Ivindo

Senior Member
Feb 11, 2016
168
239
Wakuu salama, nimebanwa katika mihangaiko ya kutafuta pesa imebid niuze asset zangu ikiwo kiwanja. Urefu mita 30, upana mita30.

Nilishaweka trip 6 mchanga, trip 11mawe lakini naona niende ulaya kwanza nitajenga nikirudi.

Kiwanja kiko mita chache toka barabRa ya Buswelu-Kahama, next to me ni uwanja wa mh Mbunge Angelina Mabula. Kimepimwa, bei ni pomoja na matarials, karibu nikakuoneshe

Eneo ni karibu na amenities zote

Kwa mawasiliano 0756 984898

SIPUNGUZI HATA SH MOJA, serious buyers only. Kiwanja ni cha kwangu 100% hakuna dalali wala dalalu
 
Mkuu naona umeamua kwenda Australia kila la kheri mkuu...
 
“SIPUNGUZI HATA SH MOJA, serious buyers only.” No negotiations allowed!!! What kinda business offer is that, but anyways provided you have receipts for all the purchases made to back your stand
 
Weka document za kiwanja chako hapa jukwaani ili tujirizishe Kabla ya kufanya mununuzi mkuu.
 
Wakuu salama, nimebanwa katika mihangaiko ya kutafuta pesa imebid niuze asset zangu ikiwo kiwanja. Urefu mita 30, upana mita30.

Nilishaweka trip 6 mchanga, trip 11mawe lakini naona niende ulaya kwanza nitajenga nikirudi.

Kiwanja kiko mita chache toka barabRa ya Buswelu-Kahama, next to me ni uwanja wa mh Mbunge Angelina Mabula. Kimepimwa, bei ni pomoja na matarials, karibu nikakuoneshe

Eneo ni karibu na amenities zote

Kwa mawasiliano 0756 984898

SIPUNGUZI HATA SH MOJA, serious buyers only. Kiwanja ni cha kwangu 100% hakuna dalali wala dalalu

Hii ni fursa kwa wenye uwezo kwa kweli
 
“SIPUNGUZI HATA SH MOJA, serious buyers only.” No negotiations allowed!!! What kinda business offer is that, but anyways provided you have receipts for all the purchases made to back your stand

Kwa mtu serious anaona mbali zaid ya maneno
 
Weka document za kiwanja chako hapa jukwaani ili tujirizishe Kabla ya kufanya mununuzi mkuu.
Fanya utulivu na ongeza umakini kwenye kusoma na kuchangia kwako hoja, hasa linapokuja suala la kumnukuu mjibiwa. Sasa huyo ndie aliyesema anauza kiwanja mpaka umuombe hizo "documents"?
 
Kuuza kiwanja halafu unakwenda ulaya kutafuta maisha ni sawa na kuuza nyumba halafu unaomba kazi ya ulinzi kwa uliyemuuzia hiyo nyumba
 
Watu kama wewe mko wengi sana na ndio mana nchi hii haiendelei. Mimi siendi kindezi ndezi km udhaniavyo, bina nyumba kadhaa, nina masters degree nzuri ya Australia, na nina good connections za niendeacho. Tarehe 12-18 July xCEO wangu wa Oz anakuja kunitembelea Tz na nakua host wake. We kaa na mawazo mgando tu. Unadhani mm ni kama wewe au wale, ndio mana last month nimefanya IELTS Arusha wabongo 8 na wazungu 14...waTz bado sana
 
achana na wehu waoga wa maisha, uza fanya mambo yako ya msing kwa sasa, yan bongo mtu akisema anauza nyumb au kiwanja anaonekana waa jabu kweli? huu wote n uwoga mtu haamin kbsa kama migodi yake baadae inaweza ikatema akapata pesa akanunua kingne bora zaid ya alichouza na kwa mawazo hayo mtaendelea kula za uso mpk akili zikae sawa, watu mnakua kama babu zetu, unamnunulia sofa anataka zikae zote na visofa vya miaka ya 70s et kisa vimemtoa mbali. 90% Ya umaskin n wakujitakia
 
Hahah nmpenda msemo wa sofa
 
Ni vile vimepimwa juzi juzi? Angelina huyu Dr Mbunge? Ngoja nitamwambia kijana mkaangalie leo, wabhejja lulu
 
Back
Top Bottom