Nchiyanguu
JF-Expert Member
- Sep 3, 2021
- 279
- 504
Wakuu kama kichwa cha uzi kinavyo jieleza, nauza shamba langu ambalo lipo mkoa wa Pwani wilaya ya Chalinze.
Shamba lina ukubwa wa heka 20. Ndani ya shamba kuna banda kubwa la kufungia mifugo.
Shamba lina rutuba sana na mazao mengi yanakubali kama ufuta, mihogo, mahindi, alizeti Nk
Hati ya shamba ninayo na shamba ni la kwangu mwenyewe, nauza kutokana na changamoto zangu binafsi.
Pembeni ya shamba langu pia kuna mgodi wa madini ambao umeanza kazi mwaka huu. So you never know labda shambani kwangu pia kuna madini.
Price: 6M