INAUZWA Nauza Meza 3 za ofisini

Jitambuwe

Senior Member
Sep 25, 2011
174
132
Habari ndugu zangu.
Poleni na majukumu.

Ninauza meza 3 za ofisini, zote zimetengenezwa kwa mbao ni imara na zipo vizuri tu. Kuna mradi nilipaswa kufanya ila mambo yakaingiliana.

Meza 2 nimezibananisha hapo ni za wafanyakazi zina droo zake hapo hapo.

Meza moja ni ya mapokezi.

Zote kwa ujumla ninauza Laki 5 (TSH 500,000)
Zipo Chanika, Dar Es Salaam

Mawasiliano
+255 742 031 321 (WhatsApp/SMS)

Karibuni.View attachment 2989333View attachment 2989334View attachment 2989337View attachment 2989335View attachment 2989336View attachment 2989338View attachment 2989339View attachment 2989340
IMG_20220921_163109_300.jpg
 
Ulitaka kufanyia shughuli gani ili ukiniuzia uniuzie na idea
Ha! Ha! Haaaa! Mkuu unafanyia vitu vingi tu. Hizo meza mbili nilizo zibananisha unaweza weka wafanyakazi wako 6 kila mtu na computer yake na viti vyake.

Katikati ya fremu yako ukakata chumba wajitegemee.

Meza hiyo ya 3 ni mapokezi wateja wako watasikilizwa hapo.

Nadhani hadi hapo umeshapata wazo lako la biashara.
 
Back
Top Bottom