T tintyeche Member Oct 3, 2021 9 6 Jan 28, 2024 #1 Habari wana jf, nina kipengere nimeona niuze laptop yangu ambayo ni mpya kabisa haina hata mchirizi wala mkwaruzo. Hp corei7 proc up to 4ghz gen 10 ram 8gb ssd 1tb 15.6' Bei yake ni 1.5Mil Tunaweza wasiliana pia kwa namba 0679987048 normal calls
Habari wana jf, nina kipengere nimeona niuze laptop yangu ambayo ni mpya kabisa haina hata mchirizi wala mkwaruzo. Hp corei7 proc up to 4ghz gen 10 ram 8gb ssd 1tb 15.6' Bei yake ni 1.5Mil Tunaweza wasiliana pia kwa namba 0679987048 normal calls
M mwanauvinza JF-Expert Member Jul 24, 2023 375 1,004 Jan 29, 2024 #2 Kwa uzoefu wangu huwezi kupata mteja wa 1.5 JF,wa Laki Tisa utapata
Vesper-valens JF-Expert Member Mar 6, 2020 5,341 7,490 Jan 31, 2024 #3 mwanauvinza said: Kwa uzoefu wangu huwezi kupata mteja wa 1.5 JF,wa Laki Tisa utapata Click to expand... Uko sahihi mkuu , kuanzia 900k kushuka chini mpaka 650k anaweza pata Mali ikiwa mkononi, afu ukatangaza kabisa unashida utapewa offer za ajabu ajabu
mwanauvinza said: Kwa uzoefu wangu huwezi kupata mteja wa 1.5 JF,wa Laki Tisa utapata Click to expand... Uko sahihi mkuu , kuanzia 900k kushuka chini mpaka 650k anaweza pata Mali ikiwa mkononi, afu ukatangaza kabisa unashida utapewa offer za ajabu ajabu